Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Mziki na ngada,na kujiuza,ushoga,na maisha ya ku pretend ni Kama kipimajoto na malaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingetosha baada ya kupiga ikabaki kwenye simu yake ameharibu kuipost hadharaniwabongo acheni unafiki,hiyo picha yuko swimingi pulu,ulitaka aogelee na dela? unaponda huku unapenda....acheni watu waishi maisha yao bana,unamsema Lina ila ukiona picha km hiyo ya Minaj unaweka na sreensaver kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kumbe anapambana na fans wake! Je wakisema hana kisim atawaonesha! [emoji15] [emoji15]
Usiogope ban!Umeuliza swali zuri sana mkuuu....ila sjiui kama bani itakuacha Salama.
Ban unakuwa nje ya Jf unajikuta unakosa mambo nyeti kama haya.Usiogope ban!
Ban unakuwa nje ya Jf unajikuta unakosa mambo nyeti kama haya.
Hali ban wala nini!Umeuliza swali zuri sana mkuuu....ila sjiui kama bani itakuacha Salama.
Anaogelea mlitaka avae dela
Akaunti ni ya nani?Ingetosha baada ya kupiga ikabaki kwenye simu yake ameharibu kuipost hadharani
it's a public account...Akaunti ni ya nani?
alafu zamani kabla hajazaa hakua na tabia hizi. labda kaona kapotea ki mziki, Kwahiyo anatafuta kiki ya kumrudisha kileleni.Waswahili husema maumivu ya kichwa huanza pooole poleee...
Huyu dada alianza pole pole.. Ila kwa vile anaendelea kujivinia malikes na mafollowers sasa anakoelea au alikofika ni extreme. Nawauliza hawa BASATA ....na vyombo husika.. Wengine ni sahihi kufanya uchafu na wengine si sahihi.!?
Hii picha mbona ni mbaya sana.
View attachment 977565
We mshamba nini, huoni yupo swimming pool. Ukiwa swimming pool unavaa siketi?Waswahili husema maumivu ya kichwa huanza pooole poleee...
Huyu dada alianza pole pole.. Ila kwa vile anaendelea kujivinia malikes na mafollowers sasa anakoelea au alikofika ni extreme. Nawauliza hawa BASATA ....na vyombo husika.. Wengine ni sahihi kufanya uchafu na wengine si sahihi.!?
Hii picha mbona ni mbaya sana.
View attachment 977565
Siwezi kwenda kwa sababu ya ushamba wako, unapost watu wanaongelea unataka wavae jeans au sketi? Uliwahi ona wapi. Sometime you need exposure to understand the differencesWewe ni kichaa... Tangulia Dodoma