Huyu Linnah Sanga amekumbwa na nini!?

Huyu Linnah Sanga amekumbwa na nini!?

wabongo acheni unafiki,hiyo picha yuko swimingi pulu,ulitaka aogelee na dela? unaponda huku unapenda....acheni watu waishi maisha yao bana,unamsema Lina ila ukiona picha km hiyo ya Minaj unaweka na sreensaver kabisa
Ingetosha baada ya kupiga ikabaki kwenye simu yake ameharibu kuipost hadharani
 
Akaunti ni ya nani?
it's a public account...

Amber rutty na serengeti wake wala hawakupost video ile...ilikuwa shared na wengine...

Sudy na maua samA pia hawakupost video ile wakikanyaga fedha ktk acc zao..

Ila nafikiri unakumbuka kilichowakuta wote hao.
 
Waswahili husema maumivu ya kichwa huanza pooole poleee...

Huyu dada alianza pole pole.. Ila kwa vile anaendelea kujivinia malikes na mafollowers sasa anakoelea au alikofika ni extreme. Nawauliza hawa BASATA ....na vyombo husika.. Wengine ni sahihi kufanya uchafu na wengine si sahihi.!?
Hii picha mbona ni mbaya sana.
View attachment 977565
alafu zamani kabla hajazaa hakua na tabia hizi. labda kaona kapotea ki mziki, Kwahiyo anatafuta kiki ya kumrudisha kileleni.
 
Waswahili husema maumivu ya kichwa huanza pooole poleee...

Huyu dada alianza pole pole.. Ila kwa vile anaendelea kujivinia malikes na mafollowers sasa anakoelea au alikofika ni extreme. Nawauliza hawa BASATA ....na vyombo husika.. Wengine ni sahihi kufanya uchafu na wengine si sahihi.!?
Hii picha mbona ni mbaya sana.
View attachment 977565
We mshamba nini, huoni yupo swimming pool. Ukiwa swimming pool unavaa siketi?
 
Wewe ni kichaa... Tangulia Dodoma
Siwezi kwenda kwa sababu ya ushamba wako, unapost watu wanaongelea unataka wavae jeans au sketi? Uliwahi ona wapi. Sometime you need exposure to understand the differences
 
Back
Top Bottom