Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Pamoja Tuhuma nyingi alizonazo nimemfuatilia historia ya mikutano yake alipokuwa RC dar ,Mwenezi na hiki alichofanya leo , huyu sio mtu wa kawaida .
Hata ukisema watumishi wanalazimishwa kwenda ,wanaita na wanafunzi au wanakodi watu toka sehemu nyingine haiwezi elezea .
Kwa kifupi huyu ana ushawishi kwenye jamii tatizo ni nini kinachofanya awe na ushawishi kiasi hiki ? Utendaji kazi au uzalendo hilo ni gumu kuelewa .
Ni ngumu kukubali lakini ndio ukweli