Huyu mama kazidi sasa

Anaanza yale mambo alaf si ww binam unajua nishawahiwa na yule shem wako,bado kusubir mahar tu
hahaha hajui kama ntapokea mpunga saa yoyote

labda anafanya mazoezi ya qaswida na nashdi za kuja tumbuiza siku hiyooo[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hahahaha wallahy nmecheka kwa sauti,ww kweli chizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] mazoez ya nn.....

hahaha we subiria tu upokee mahar
hahaha huyo bwana shemejii afnya mazoezi ya Qaswida na Nashdi na si wajua zile qaswida za ndoa hahaha

hivi yupo au kazimia
maana mara mwisho nilimuacha wanamwekea drip ya qwinini [emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Hahahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] usinivunje mbavu binami ww kaaa...

Hayo mazoez ni ya mwendo kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…