Huyu mama watoto wangu nashindwa kumuelewa

Huyu mama watoto wangu nashindwa kumuelewa

Jaruk

Member
Joined
May 7, 2020
Posts
44
Reaction score
47
Nimezaa na mdada flani hivi lakini tunaishi mbalimbali Kila mmoja na shuhuli zake. Yeye ni mjasiliamali na Mimi ni mwajiriwa.

Baada ya kusumbuana kuhusu matumizi ya mtoto ndipo nilipomshauri mwenzangu aje tuishi wote ili kupunguza garama za maisha lakini alikataa kwa jeuri kubwa kwamba hawezi ishi sehemu nyingine zaidi ya hapo alipo.

Lakini siku za karibuni baada ya biashara yake kufa anadai aje niishi naye.

Ushauri wenu
 
Akili ishamkaa sawa huyo.. Kilichokua kinampa kibur ni vihela vya ujasiriamali akaona anaweza kua single mother
 
We mdunge mimba ingine.....ndo tushakushauri wanaume wenzio...! Akiendelea baada ya hapo mtwishe ya tatu atakoma...!
 
UKIONA MAHARAGE YAMEIVA JUA MKAA UMETEKETEA...AMINI MAAMUZI YA AKILI YAKO
 
Sio suala la ujasiri mkuu

Ni nyege mixer matumizi mabaya ya condom
Yeah,bt sometimes pia yanakuwaga ni makubaliano baina ya wawili.ambayo to be honestly cna ujasiri huo hata kama nitakuwa na maisha mazuri kiasi gani... kukubali kuzalisha kabla ya au nje ya ndoa au mwanamke kukubali kuzaa kabla ya au nje ya ndoa.me naonaga ni kama mwanzo wa laana na matatizo kedekede kwenye maisha ya wahusika na kitakachotoka piah (mtoto)..
enewei me nimebase sana kwenye upande wa kiimani zaidi,so ni mawazo yangu piah...
 
Kama biashara imekufa imeyumba mpe mtaji aifufue.


mama wawili
 
Anatamaa na mchoyo, kama hakitaka ule vyake hata kusaidiana maisha bora umrekebishe kwa kuwa mgumu haraka uwezavyo.
Huyo alikuwa na kazi, pia labda na njemba ingine ambayo kwasasa imemtema.
 
Back
Top Bottom