Msumbufu Sana kwenye maleziMtie mimba nyingine ashike adabu.
Kama mtoto mmoja tu anamsumbua hivyo akiongeza wa pili si ndo atapata uwalaza kabla ya muda wake.Mtie mimba nyingine ashike adabu.
Sio suala la ujasiri mkuuila wakuu huwa mnapata wapi ujasiri wa kuzaa nje au kabla ya ndoa...?
Yeah,bt sometimes pia yanakuwaga ni makubaliano baina ya wawili.ambayo to be honestly cna ujasiri huo hata kama nitakuwa na maisha mazuri kiasi gani... kukubali kuzalisha kabla ya au nje ya ndoa au mwanamke kukubali kuzaa kabla ya au nje ya ndoa.me naonaga ni kama mwanzo wa laana na matatizo kedekede kwenye maisha ya wahusika na kitakachotoka piah (mtoto)..Sio suala la ujasiri mkuu
Ni nyege mixer matumizi mabaya ya condom