Huyu Matha Karua anajihusisha kwenye kesi za Tanzania kama nani haswa?!

Huyu Matha Karua anajihusisha kwenye kesi za Tanzania kama nani haswa?!

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Huyu Bibi wa kenya Martha Karuq mbona anataka kutupanda kichwani?!

Anapata wapi ujasiri wa kujihusisha na kesi za uhani nchini Tanzania?

Tafadhali mamlaka zetu zisipuuzie hili jambo
 
Ungesikiliza mahojiano aliyofanyiwa wala usinge tengeneza Uzi,
Na iwapo hujamuelewa omba ueleweshwe, inaruhusiwa.
 
Kuna wimbi kumbwa la wanaharakati na vijana wa fujo wamekuja maalum kuratibu vurugu pamoja na Chadema, kikundi hicho kinatoka hapo nchi jirani.
Wafuatiliwe hadi choooni.
 
Huyu Bibi wa kenya Martha Karuq mbona anataka kutupanda kichwani?!

Anapata wapi ujasiri wa kujihusisha na kesi za uhani nchini Tanzania?

Tafadhali mamlaka zetu zisipuuzie hili jambo
Nadhani anataka kusaidia Tanzania kuiamsha na kuielimisha kuwa binadamu wenye akili timamu hawawezi kukubali hata kulazimishwa kujigeuza au kugeuzwa machawa. Sioni kosa zaidi ya kutaka kusaidia mazwazwa yanayoaminishwa kuwa lazima yawe machawa ndiyo yale.
 
Lengo lake ni kuja kuchochea na kuhamasisha fujo ndani ya Chadema, kamwe hilo halikubaliki.
 
Huyu Bibi wa kenya Martha Karuq mbona anataka kutupanda kichwani?!

Anapata wapi ujasiri wa kujihusisha na kesi za uhani nchini Tanzania?

Tafadhali mamlaka zetu zisipuuzie hili jambo
Kuna watu hawana ujasiri wa kukaa kimya dhidi ya wapumbavu.
 
Hakupaswa tu awe deported bali alitakiwa afunguliwe mashitaka.
Huyu Bibi analeta uchochezi nchini, hapaswi kuchekewa, apeleke uhuni wake kule...
 
Huyu Bibi wa kenya Martha Karuq mbona anataka kutupanda kichwani?!

Anapata wapi ujasiri wa kujihusisha na kesi za uhani nchini Tanzania?

Tafadhali mamlaka zetu zisipuuzie hili jambo
Mbona alikua uganda kwenye kesi ya kiiza besige hukuuliza
 
Huyu Bibi wa kenya Martha Karuq mbona anataka kutupanda kichwani?!

Anapata wapi ujasiri wa kujihusisha na kesi za uhani nchini Tanzania?

Tafadhali mamlaka zetu zisipuuzie hili jambo

Afrika ni moja na dunia ni kijiji .
Watanganyika karibu 90% ni waafrika halisi na Ndugu zetu ni Wakenya kwa upande wa Kaskazini , Magharibi ni Wanyarwanda na Warundi na hata wakongo na kwa upande wa True Northi(Lake zone) ni Waganda na Wasudani ya Kusini.
Upande wa kusini ndugu zetu ni wa Msumbiji na Malawi ,Wazambia n.k. q

Lisu ni Mwafrika Mtanganyika na Kenya ni Ndugu zetu .

Wanaotuangamiza kiuchumi kidini na kijamii ni kutoka nje ya bara la Afrika wakiwemo Familia ya Sultani wa Oman.

Kwa hiyo Afrika nzima tunaungana kuunda umoja wa liuchumi kisiasa na kijamii katika kudai haki dhidi ya Wavamizi .
Hata Majeshi yetu sisi Waafrika hayana Waarabu wala wahindi wala Wazungu kwa sababu hawajali usalama na mipaka ya nchi zetu na hawapo tayari kufa kwa ajili ya Afrika zaidi ya maslahi yao.

Ukiona Mwarabu au Msomali kwenye vyombo vya ulinzi ni mamluki wa kuuza mihadarati na Magendo na atakua katika vyeo vya juu sio Lindo la Mkuu wa Wilaya au Benki au umuone mwarabu kwenye kusafirisha pesa za wachina .
Hii inayonyesha wazi kuwa wageni kutoka nje ya bara la Afrika sio wenzetu bali ni wezi na wanyanganyi wa rasilimali zetu na wasaka madaraka tu wasio na huruma hata na rasilimali zetu na uhai wa watu wetu .

Uingereza Mtoto wa Malkia anakwenda Jeshini na kuapa kulilinda na kulipigania taifa lake hata kufa kuonyesha uzalendo wake .

Kesi ya Lisu ni kesi ya uongo iliyowekwa na watu waovu kuliko shetani ambao wanaishi kwa kumwaga damu za watu .

Na Lisu kukaa gerezani ni salama zaidi na ni mpango wa Mungu kwani adui wa Lisu sio Wananchi bali ni waovu waliopora madaraka yanayopatikana kwa haki na kitumia fedha kuajiri wauaji na watekaji na watesaji.
Hawa waovu wapo na wanaogopa Neno haki .

Waovu hawa walioua watu na kuchoma Makanisa kule Zanzibar na kuanzisha vikundi vya ugaidi awa,u ya Tano na kuanza kuchoma vituo vya polisi na kuua polisi na kuvamia mabenki leo wamegeuka na kuunda magenge ya kuteka watu halafu wahuni hao hao leo wanazuia Mawakili wanawake wasio hata na wembe kusikiliza kesi ya Mwanasheria na Wakili mwenzao katika ukanda wa Afrika Mashariki .

Nashindwa kuzuia Watekaji wenye silaha na wanaotembea mchana kweupe kwenye magari na wanaotumia simu kutisha watu na kuua wachungaji na mapadri halafu mnatumia nguvu kubwa mnakimbilia kuwazuia wanawake kutoka Kenya . Mbona mmeshindwa kuzuia Wasomalia na Waarabu wasiende Mtwara kupeleka pesa za kufadhili ugaidi unaoendelea mpakani mwa Msumbiji ?
 
Back
Top Bottom