Ndio raha ya kupora uchaguziWana jamvi naomba tumsikikize Mbunge wetu kupitia chama tawala.
Inanipa shida kuamini kama anajua maana ya vijana au wazee.
Kwangu mimi ningemshauri arudi darasani badala ya kurudi jimboni Kwale maana vijana hakuwatendea haki.
View attachment 3618071