Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Kikubwa brother Pond wewe endelea kupambana na janga lako...umeshalichuma huna budi kulila peke yako.

Kikubwa wanaume huwa tunapenda maisha ya changamoto...ukiwa huna changamoto za kiuchumi basi utatafuta changamoto za kimapenzi.

Pia wengi tunaenda nje ya title au ushauri aliouomba mleta uzi. Wengi tunajibu tofauti na tulivyoulizwa, Mleta uzi hajasema kuwa anaomba ushauri aachane na mchepuko wake. Alichotaka ni tumshauri aupe taarifa mchepuko wake kuwa anatoka na shemeji yake au laa ?

Mi jibu ni moja tu USIMWAMBIE , Wewe endelea kuzichakata maku zote mbili kwa nyakati tofauti.Mdogo mtu anaonekana kuwa anajielewa na hii inaonekana kiwango chake cha elimu kipo juu kuliko dada yake. So anajielewa na anaweza kuendelea kuficha mahusiano yake na yako ila za mwizi ni arobaini , either zikutwe sms zako kwenye simu ya mdogo wake au MIMBA ije iwaumbue..

Nawasilisha.
 
Basi Mwanamke yule akanitafuta anagomba kwann nmefanya vile, nmemdharau sana, nmeona ela yake hainathaman, sio utu ule yeye kachangia kwa Nia njema maana ananipenda. Nkamwambia tutayazungumza nikisharudi. Nikakata sim.

Sasa kwa bahat mbaya nilivoenda kupakia, nkakuta Bei za vitu zimepanda Sana uko. Ikabd Ile bajet nlotenga kununulia material za ujenz niongeze nichukue mzigo wa duka Kama nilivopanga. Nkasema huu ujenz upo ntaendelea nao baadae. Nizungushe kwanza. Afu vitu vingine nkavikosa vya muhimu nkavikosa ikabid nirudi baada ya siku 5 tu badala ya wiki 2 Kama nilivopanga awali.

Sasa Nilivorudi nkakuta mwenzangu kanuna, Basi ukawa mzozo akilalamika kwann nmeukataa mchanga wake. Yakawa Kama yameisha.
Tukasex kisha nikaondoka bila KUACHA posho ya meza.

Baada ya siku 2 Tena nkaenda kusex nae, Kisha nkaondoka bila KUACHA posho ya meza.
Ile natoka mlangoni Akanivuta kusema
"Hivi wee Mwanaume unanichukuliaje Mimi? Umeniona mi takataka Sana sio?"

Nkauliza "kwann?"

Akasema "Yaan unakuja,unaondoka TU hata ela ya kula huachi.
Kwenye Ujenzi nako sikuelewi elewi naona umerudi ila Sioni material wala ukiendeleza ujenzi
Ilianza unatoa elfu 15, ukaja elfu 5, sikuhizi naona huachi KABISA.
Hivi wee unahisi mi naishije hapa ndani? Au nimekua jini Mimi?"

Nikawa nimecheka nikamwambia
"kwani Maneno yote Ayo yanatoka wapi mpnz wang, wee sinilishakuachia Ela ya kula wiki 2? , leo wiki ya pili ndo imeanza unaniombaje Ela sasa?"

Akasema,
"Unaemchekea Nani,hapa utoki Lazima unaichie Ela..." Uku ananisachi.

Nikawa namtoa hatoki anaendelea kunikagua mifukoni, nikona uyu mpumbavu.
Nikamziba Kofi, akaiachia suruali yangu.

Nikamwambia,
"ukome na uwe na adabu unapokua unaongea na mm, tabia ya kunisachi Ni ya kimalaya na ife Mara Mona. Usije unarudia huo upuuzi Tena"

Basi nikaondoka zangu.
Sasa kesho yake Sina hili Wala Lile wakapitishwa samaki wazur Sana dukan kwangu.
Nikanunua mafungu mawili, moja likapelekwa kwangu jingine nikamtuma bodaboda wake ampeleke mchepuko kwake.

Basi baadae boda Akanambia kafikisha mzigo, ikabd Nimpigie kumjulisha achukue samak mmoja anichemshie supu jion ntapitia kunywa. Akawa hapokei.
Basi nikamtumia sms.

Ile jion nikapitia kwake kunywa supu yangu, Ila nafika nagonga akaja mlangon akasimama wima.

Akasema,
"Eeh baba wee, ishia uko. Ukitaka kuingia nyumba hii tekeleza nnayoyataka"

Nkamuuliza "yapi Ayo"
Akasema
" kwanza-uwe unanipa elfu 20 yakula kila siku
Pili- unimalizie ile nyumba ndani ya mwezi huu
Tatu- uweke zamu yakulala kwangu.
Huwez kutekeleza Ayo Basi ISHIA HAPO HAPO NJE"

Nkamwambia "sawa"

AkAuliza
"Iyo sawa maana ake Nini, afu ilo jibu lako silipendi linanikera Sana"

Nkamwambia ,
"Sawa maana ake siwez kutelekeza Ayo unayoyahitaji kwa Sasa"

Akasema "aya, ishia huko huko. Wako wanaume wengi sana Kama wewe wanaoweza kutimiza nnayoyahitaji"

Nkamwambia "sawa wakakutimizie Basi"

Akasema " akarud ndan na kufunga mlango wake"

Sasa,
Nikabaki pale nje nimeduwaa, maswali mengi kichwani. Kisha nikaenda zangu nyumbani.

Ni siku ya 5 Sasa karudi kwenye ule utaratibu wake w zamani wa kurusha vijembe status,

Naziona status zake kibao kila Mara, nabaki najiuliza.

[emoji117]Hivi uyu mwanamke ananichukuliaje kwanza?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajiona special Sana eeh?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua kua hapo anapokaa Kodi anahamia nmelipia mm?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua Apo anapojimwambafai nishapita na mdg wake?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua kwamba Apo anapofanya kazi yupo kwa mgongo wangu mimi[emoji848]
[emoji117]Au nimuundie zengwe Tena ahangaike na Dunia ili akili imkae[emoji848]

Wakuu mnisaidieni
Je, NIMWAMBIE UKWELI AU NIMUACHE AENDEEE KUJIMWAMBAFAI[emoji848]

Mwisho
We jamaa story yako imenichekesha kama mazuri vile unawezaje kuwa na mwanamke wa aina hiyo unamfanyia kila kitu lakini unaishia kupigwa matukio?? Mm sikushauri cha kufanya lakini wewe mwenyewe em jiulize kama unastahili hayo unayopitia alafu utapata majibu nini ufanye. Pole
 
Mwaka 2015 nna jamaa angu,
Aliopoa kahaba wa sinza, afu kama masihara akaoa KABISA.

Huwez amini mpk sahv wako pamoja na wana watoto 3.
Inatokea sana...makahaba wengi wanajiuza kutokana na shida za kimaisha ila wakipata gentlemen wa kuwatuliza na kuwahudumia wanakuwa wife materials kabisa.
 
Dogo naendelea kumla, mpk Jana nilikua nae.
Sema show zake sio kivile kama alivyo dada ake

Dada ake fundi Sana aisee,
Japokua na changamoto zake kibao Kuna MDA huwa nammiss Sana msumbufu wangu yule[emoji4]
Hii ndo sababu kumbe unashindwa kuchomoka[emoji16][emoji16]
 
Hatari ipi mkuu wakati kuna gape la miaka miwili miwili
Hamna mkuu 15_21 sawa na miaka sita huyo mwanamke anauzowefu wa kubemenda sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usikute unapewa kwa mpalange au inawezekana umefanyiwa dawa usitoke ktk kumi na nane zake ila labda tu unakichwa kizuri maana sometimes akili inatoka na sometimes inarudi.
Akili iko fresh KABISA mkuu[emoji4]

Kuna siku alileta ujinga nkamwambia

"Hivi akili yako iko sawa kweli wewe? Unajiamini Nini kwanza kutamka UPUUZ kama huo. Aumepewa dawa uko umekuja kuzifanyia majaribio kwangu. Mwambie mganga wako alokupa dawa sijaribiwi Mimi. Akurudishie chenji yako"
 
Kikubwa brother Pond wewe endelea kupambana na janga lako...umeshalichuma huna budi kulila peke yako.

Kikubwa wanaume huwa tunapenda maisha ya changamoto...ukiwa huna changamoto za kiuchumi basi utatafuta changamoto za kimapenzi.

Pia wengi tunaenda nje ya title au ushauri aliouomba mleta uzi. Wengi tunajibu tofauti na tulivyoulizwa, Mleta uzi hajasema kuwa anaomba ushauri aachane na mchepuko wake. Alichotaka ni tumshauri aupe taarifa mchepuko wake kuwa anatoka na shemeji yake au laa ?

Mi jibu ni moja tu USIMWAMBIE , Wewe endelea kuzichakata maku zote mbili kwa nyakati tofauti.Mdogo mtu anaonekana kuwa anajielewa na hii inaonekana kiwango chake cha elimu kipo juu kuliko dada yake. So anajielewa na anaweza kuendelea kuficha mahusiano yake na yako ila za mwizi ni arobaini , either zikutwe sms zako kwenye simu ya mdogo wake au MIMBA ije iwaumbue..

Nawasilisha.
Wee jamaa uko smart Sana,
umeusoma vizur Uzi na kuuelewa point to point.

Jf imebarikiwa Watu smart Sana, melo aishi miaka mingi Sana[emoji4]
 
Back
Top Bottom