Ngoja nkumegee Siri nyingine Sasa,
kipind tumeanza mahusiano nlimkuta kwenye mahusiano mengine na jamaa mmoja ila yeye nilipomuuliza akakana Hana mahusiano nae. Nikaheshimu Maneno yake
(may be ni rumors TU za mitaani)
Bas akawa ananificha ficha Sana ila baadae nikajua anakutana na jamaa kisirisiri ule MDA nnapokua kazin.
One-day nikaja nikamfumania kwake nilikompangishia na jamaa kavaa vest tupu kamlalia kwenye Kochi,
Jamaa alikua hanijui, Basi nikajifanya nmekuja kuomba maji ya kunywa.
Jamaa akamwambia mpelekee mgeni maji ya kunywa. Mwanamke anavibrate balaa.
Nikanywa maji nikaondoka zangu.
Baada ya masaa 2 akanitafuta, nikamuuliza
"Vipi mmeshamaliza?"
Akajitetea kua anaomba kuongea na mm live, niende kwake
Mwanzoni nikakataa, ila baadae jamaa angu mmoja akanishaur yanini kumuwekea wivu mwanamke wa nje asiye mke wako.
Uyo mwanamke Ni Malaya,uyo ishi Naye hivo hivo kimalaya. Na wee nenda kapige mzigo.
Jali haja zako TU mengine Achana nayo.
NIKAAFIKI WAZO LAKE.
Nilipofika akanifata kimahaba, namimi nikarespond kimahaba vile vile afu tukasex.
Katikati ya sex akawa ananiomba msamaha, kua mwanzon alinificha ila alkua na mahusiano nae kweli. Alihofia ntakatisha mahusiano na alishanipenda tayar.
nikamwambia nishakusamehe tayar potezea TU Ila jirekebishe. Tuendelee kusex.
Basi tukasex mpk tukamaliza.
Baada ya kamaliza nikamuweka kitako chini kumwelezea fact.
Kua "wee nishakuchukulia Ni mwanamke Malaya, ndomaana nmekufumania na bado nmepata ujasili wa kuzamisha mule mule alikotoka kuzamisha Mwanaume mwenzangu siku Iyo iyo. Ningekua nakupenda hata nisingekuja na hisia na wewe."
" Kwaiyo kuanzia leo ntaishi na wewe hivo hivo, Ukitaka nikuchukulie serious,nakupa mwezi mmoja, malizana na Watu wako hao. Kisha utanambia. Ukinidanganya ntajua afu ntakupiga chini mazima"
Basi wakaachana kabisa na yule jamaa, gafla nikaona jamaa Kama ananinunia ila Hana lolote la kunifanya maana hanijui na hakua na maZoea na Mimi[emoji4]