Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Boss nashauri now weka mapenzi pembeni, hilo pagale malizia na hakikisha ni mali yako, na ingependeza mke mkubwa alijue ili akileta usanii aingie anga za ukweli ambazo hawezi rudi tena kuleta ujinga.

Ila huyo dogo wa chuo safi, alipaswa ndio awe part two, anaonekana anajielewa.

Umenifundisha kitu, kumbe ukiwa na pesa hawa viumbe sio poa wanaweza hata kukutoa roho usipokua mkali.
Dogo naendelea kumla, mpk Jana nilikua nae.
Sema show zake sio kivile kama alivyo dada ake

Dada ake fundi Sana aisee,
Japokua na changamoto zake kibao Kuna MDA huwa nammiss Sana msumbufu wangu yule[emoji4]
 
Hahahha au ndo Ile siku ya kuachana unampakia mkongo alafu ukitoka hapo.....badala ya kumuachia posho unamuachia kimemo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Aaah wapi,
Tena ungejua mwanamke yule show za kibabe anapenda Sana.
Ana pumzi na stamina ya kutosha.

Ayo mavumbi utaishia kumfurahisha TU.
No tofauti kabisa wanawake wore nilowai kutana nao[emoji4]
 
Tunapitia mengi,
Na nashkuru humu huwa napata fursa ya kufunguka ya moyoni.

Visa Ni vingi sana MDA Ni mchache[emoji4]
Wanaume mnapitia mengi, unajua hayo ni mateso eti 😃😃.. Ila mara nyingi kuwekeza kwa mchepuko huwa ni hasara ujue.. imagine hapo angekua na mtoto wako, hujalipa ada, kodi, na matumizi ya nyumbani.. bado mchepuko hajakuvuruga siku akufurumushe rudi kwa mkeo sikutaki, hapo bado hujajificha usijulikane kwa wife ubaki na siri.. it’s terrible man 🤔
 
Wanaume mnapitia mengi, unajua hayo ni mateso eti [emoji2][emoji2].. Ila mara nyingi kuwekeza kwa mchepuko huwa ni hasara ujue.. imagine hapo angekua na mtoto wako, hujalipa ada, kodi, na matumizi ya nyumbani.. bado mchepuko hajakuvuruga siku akufurumushe rudi kwa mkeo sikutaki, hapo bado hujajificha usijulikane kwa wife ubaki na siri.. it’s terrible man [emoji848]
Kwa tabu anazonipa ningeshapata replacement yake ningeshampiga chini MDA Sana.

Ngoja nipambane nae hivo hivo kwanza, kitaeleweka uko mbele ya safar[emoji4]
 
Ila Sasa baada ya zile harakat za ugomvi ugomvi kuisha.
Dogo akamuomba dada ake arudi hostel ili apate MDA wa kujisomea vizur na wenzie maana uku mitaani anakosa KABISA utulivu. Dada ake kanishirikisha. Namimi nikaafiki,
MAANA pia nikaona ile Ni advantage nzur sana kwangu kua namchakata Dogo kwa Uhuru uko mitaani kuliko vile alivokua anaishi pale pale kwa dada
Wanaume bhana ! Huja jifunza lolote wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu...hapo umenasa wewe...huyo dem huezi kumuacha ila jitahid nyumba usimpe wala mimba usimpe...halafu sa hv wekeza home...ujue malaya kumuacha ni ngumu sana tatizo lao hawana shukrani na hawakumbuki fadhila...

Kingine pia wanaongezea na kauchawi kidooogo....!
 
Yeah, niga kasuka movies mradi arudi kupapasa papuchi, serikali itoe tozo kwenze penzi kuna hela nyingi maana kichwa cha chini hakina adabu.
Hii ni balaa kisa cha huyu jamaa kina tofauti kidogo na changu kwakuwa yeye anatumia mkwanja sana ila mimi mchepuko wangu huwa tunakosana nauacha alafu ananitafuta mwenyewe. Sio sababu ya hela ila vile namsugua. Daaah wanaume hatari.
 
Ana camel toe, ana utelezi mwingi ana maji lazima unase rafiki yangu, pole nimesoma yote hadi kulowana, unaonekana mbabe sana wewe juu ya kitanda

Ushauri wangu achana na huyo mchepuko atakuharibia sana pole rafiki
 
Mkuu...hapo umenasa wewe...huyo dem huezi kumuacha ila jitahid nyumba usimpe wala mimba usimpe...halafu sa hv wekeza home...ujue malaya kumuacha ni ngumu sana tatizo lao hawana shukrani na hawakumbuki fadhila...

Kingine pia wanaongezea na kauchawi kidooogo....!
Yaan ujue mkuu kuna mda nlikua onja onja kutafta mbadala wake ila nikashindwa.

Kuna ile Hali unajikuta unasex na mwanamke mwngine afu unajikuta hauenjoy kabisa ile moment.

Unajikuta unammiss Katikati ya tendo, sometimes hata bao kupiga Lazima utengeneze picha yake kichwani kua uko na yeye ndo nikojoe.

Kuna vitu ukisema watasema nimerogwa, ila ukweli yapo na yanatukuta wanaume wengi Sana.
 
Basi Mwanamke yule akanitafuta anagomba kwann nmefanya vile, nmemdharau sana, nmeona ela yake hainathaman, sio utu ule yeye kachangia kwa Nia njema maana ananipenda. Nkamwambia tutayazungumza nikisharudi. Nikakata sim.

Sasa kwa bahat mbaya nilivoenda kupakia, nkakuta Bei za vitu zimepanda Sana uko. Ikabd Ile bajet nlotenga kununulia material za ujenz niongeze nichukue mzigo wa duka Kama nilivopanga. Nkasema huu ujenz upo ntaendelea nao baadae. Nizungushe kwanza. Afu vitu vingine nkavikosa vya muhimu nkavikosa ikabid nirudi baada ya siku 5 tu badala ya wiki 2 Kama nilivopanga awali.

Sasa Nilivorudi nkakuta mwenzangu kanuna, Basi ukawa mzozo akilalamika kwann nmeukataa mchanga wake. Yakawa Kama yameisha.
Tukasex kisha nikaondoka bila KUACHA posho ya meza.

Baada ya siku 2 Tena nkaenda kusex nae, Kisha nkaondoka bila KUACHA posho ya meza.
Ile natoka mlangoni Akanivuta kusema
"Hivi wee Mwanaume unanichukuliaje Mimi? Umeniona mi takataka Sana sio?"

Nkauliza "kwann?"

Akasema "Yaan unakuja,unaondoka TU hata ela ya kula huachi.
Kwenye Ujenzi nako sikuelewi elewi naona umerudi ila Sioni material wala ukiendeleza ujenzi
Ilianza unatoa elfu 15, ukaja elfu 5, sikuhizi naona huachi KABISA.
Hivi wee unahisi mi naishije hapa ndani? Au nimekua jini Mimi?"

Nikawa nimecheka nikamwambia
"kwani Maneno yote Ayo yanatoka wapi mpnz wang, wee sinilishakuachia Ela ya kula wiki 2? , leo wiki ya pili ndo imeanza unaniombaje Ela sasa?"

Akasema,
"Unaemchekea Nani,hapa utoki Lazima unaichie Ela..." Uku ananisachi.

Nikawa namtoa hatoki anaendelea kunikagua mifukoni, nikona uyu mpumbavu.
Nikamziba Kofi, akaiachia suruali yangu.

Nikamwambia,
"ukome na uwe na adabu unapokua unaongea na mm, tabia ya kunisachi Ni ya kimalaya na ife Mara Mona. Usije unarudia huo upuuzi Tena"

Basi nikaondoka zangu.
Sasa kesho yake Sina hili Wala Lile wakapitishwa samaki wazur Sana dukan kwangu.
Nikanunua mafungu mawili, moja likapelekwa kwangu jingine nikamtuma bodaboda wake ampeleke mchepuko kwake.

Basi baadae boda Akanambia kafikisha mzigo, ikabd Nimpigie kumjulisha achukue samak mmoja anichemshie supu jion ntapitia kunywa. Akawa hapokei.
Basi nikamtumia sms.

Ile jion nikapitia kwake kunywa supu yangu, Ila nafika nagonga akaja mlangon akasimama wima.

Akasema,
"Eeh baba wee, ishia uko. Ukitaka kuingia nyumba hii tekeleza nnayoyataka"

Nkamuuliza "yapi Ayo"
Akasema
" kwanza-uwe unanipa elfu 20 yakula kila siku
Pili- unimalizie ile nyumba ndani ya mwezi huu
Tatu- uweke zamu yakulala kwangu.
Huwez kutekeleza Ayo Basi ISHIA HAPO HAPO NJE"

Nkamwambia "sawa"

AkAuliza
"Iyo sawa maana ake Nini, afu ilo jibu lako silipendi linanikera Sana"

Nkamwambia ,
"Sawa maana ake siwez kutelekeza Ayo unayoyahitaji kwa Sasa"

Akasema "aya, ishia huko huko. Wako wanaume wengi sana Kama wewe wanaoweza kutimiza nnayoyahitaji"

Nkamwambia "sawa wakakutimizie Basi"

Akasema " akarud ndan na kufunga mlango wake"

Sasa,
Nikabaki pale nje nimeduwaa, maswali mengi kichwani. Kisha nikaenda zangu nyumbani.

Ni siku ya 5 Sasa karudi kwenye ule utaratibu wake w zamani wa kurusha vijembe status,

Naziona status zake kibao kila Mara, nabaki najiuliza.

[emoji117]Hivi uyu mwanamke ananichukuliaje kwanza?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajiona special Sana eeh?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua kua hapo anapokaa Kodi anahamia nmelipia mm?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua Apo anapojimwambafai nishapita na mdg wake?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua kwamba Apo anapofanya kazi yupo kwa mgongo wangu mimi[emoji848]
[emoji117]Au nimuundie zengwe Tena ahangaike na Dunia ili akili imkae[emoji848]

Wakuu mnisaidieni
Je, NIMWAMBIE UKWELI AU NIMUACHE AENDEEE KUJIMWAMBAFAI[emoji848]

Mwisho
Mwisho na simu yangu ndio imefika 1% asante kwa story ndefu ila kisa ungekifupisha tu! Kimemaliza chaji yangu😅😅😅sema huyo demu mchepuko wako kwa hizo tabia kama sio mchaga basi mniuwe!!!
 
Back
Top Bottom