Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Anayajulia hasa,
Ndo maana kila siku nasema humu kua NAMPENDA SANA WIFE WANGU siwez kumuacha kamwe,

ILA suala la SEX ilotukuka Ninapata kwa MCHEPUKO WANGU msumbufu yule.

Watu huwa wanabisha Sana humu[emoji4]
Hajakuroga na akikuroga unatelekeza mkee!Huyo anajua mapenzi!!yaani hajakuwekea limbwata hata kidogo!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Ndo mkomee
 
Ila wanaume ni ngumu kuwaelewa, kumbe unjua kwamba kuwa mke ni zaidi ya ufundi kitandani lakini bado upo tayari kuhatarisha ndoa yako kwa sababu ya ufundi wa mchepuko kitandani
 
Ukishaona upo na mtu and the only topic on the table is sex sex mda wote...aah hapo kuna tatizo, mmeunganishwa na sex tu hata kushauriana life na mengine hakuna...aaah!

Anyway zangu ni akili za kizee nadhani.
Kaka we ushazeeka !!!Huyo ni mchepuko ameridhika na elf10 ya pesa ya kula hana shida yaani!maisha atajenga na mkewe

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Huyo mke huyoo ndo mana anasaidiwa. Ila labda kichanga kimemuweka busy
Honestly
Wife akiwa kwny mood afu akawa hanyonyeshi mtoto.

Anakuaga na qualities zake flan kwenye sex zinaridhisha.

Ila akiwa nanyonyesha anakua mizinguo Sana.

Nishamjulia,
Namuachaga TU ili nisimkere[emoji4]
 
Kaka we ushazeeka !!!Huyo ni mchepuko ameridhika na elf10 ya pesa ya kula hana shida yaani!maisha atajenga na mkewe

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Wallah nimezeeka mdogo wangu, too much sex aloo. Mara kochi, kitanda, bafuni, kafia kwa fiat...loooh...huo uke hauchoki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi huyo ni mzembe au ameridhika tu ikimradi gurudumu lisogee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…