Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Anayajulia hasa,
Ndo maana kila siku nasema humu kua NAMPENDA SANA WIFE WANGU siwez kumuacha kamwe,

ILA suala la SEX ilotukuka Ninapata kwa MCHEPUKO WANGU msumbufu yule.

Watu huwa wanabisha Sana humu[emoji4]
Hajakuroga na akikuroga unatelekeza mkee!Huyo anajua mapenzi!!yaani hajakuwekea limbwata hata kidogo!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Wanasemaga hivi mke kua changudoa kwa mumeo![emoji848][emoji126][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]!!hata akitoka nje nafsi imsute but nowadays mtu akiloewa ndo baasi kashapata usajli wa kudumu

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ndo mkomee
 
Nahofia kumuoa maana tabia zake Kama VIGEZO vya wife material bado kabisa.

Kua MKE Mimi naamini Ni Zaid ya kua fundi wa ngono kitandani

Kwaiyo ngoja abaki Un-official maybe atakuja jirekebishe baadae baadae.

kwaSasa hapana,
Nahofia tutasumbuana Sana uyu,[emoji4]
Ila wanaume ni ngumu kuwaelewa, kumbe unjua kwamba kuwa mke ni zaidi ya ufundi kitandani lakini bado upo tayari kuhatarisha ndoa yako kwa sababu ya ufundi wa mchepuko kitandani
 
Ukishaona upo na mtu and the only topic on the table is sex sex mda wote...aah hapo kuna tatizo, mmeunganishwa na sex tu hata kushauriana life na mengine hakuna...aaah!

Anyway zangu ni akili za kizee nadhani.
Kaka we ushazeeka !!!Huyo ni mchepuko ameridhika na elf10 ya pesa ya kula hana shida yaani!maisha atajenga na mkewe

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Huyo mke huyoo ndo mana anasaidiwa. Ila labda kichanga kimemuweka busy
Honestly
Wife akiwa kwny mood afu akawa hanyonyeshi mtoto.

Anakuaga na qualities zake flan kwenye sex zinaridhisha.

Ila akiwa nanyonyesha anakua mizinguo Sana.

Nishamjulia,
Namuachaga TU ili nisimkere[emoji4]
 
Kaka we ushazeeka !!!Huyo ni mchepuko ameridhika na elf10 ya pesa ya kula hana shida yaani!maisha atajenga na mkewe

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Wallah nimezeeka mdogo wangu, too much sex aloo. Mara kochi, kitanda, bafuni, kafia kwa fiat...loooh...huo uke hauchoki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha..
mama watoto katoka kujifungua ana miez 3 na nusu tu.

Afu hekaheka zile zote alikua bize na Mambo ya misiba wa jirani yetu.

Kingine wife wangu hajuagi kunigundua hata Kama nmetoka kupiga kea mchepuko soon.

Yeye anachojua TU, ukimpiga show ya kitoto Kuna mahali ndo umechepuka.

Kumbe wala hata,
sometimesni kwamba unakua huna TU mzuka nae

Au ameperfom vibaya unaamua tu kughairi mechi[emoji4]
Basi huyo ni mzembe au ameridhika tu ikimradi gurudumu lisogee
 
Back
Top Bottom