Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Ila we jaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi Mwanamke yule akanitafuta anagomba kwann nmefanya vile, nmemdharau sana, nmeona ela yake hainathaman, sio utu ule yeye kachangia kwa Nia njema maana ananipenda. Nkamwambia tutayazungumza nikisharudi. Nikakata sim.

Sasa kwa bahat mbaya nilivoenda kupakia, nkakuta Bei za vitu zimepanda Sana uko. Ikabd Ile bajet nlotenga kununulia material za ujenz niongeze nichukue mzigo wa duka Kama nilivopanga. Nkasema huu ujenz upo ntaendelea nao baadae. Nizungushe kwanza. Afu vitu vingine nkavikosa vya muhimu nkavikosa ikabid nirudi baada ya siku 5 tu badala ya wiki 2 Kama nilivopanga awali.

Sasa Nilivorudi nkakuta mwenzangu kanuna, Basi ukawa mzozo akilalamika kwann nmeukataa mchanga wake. Yakawa Kama yameisha.
Tukasex kisha nikaondoka bila KUACHA posho ya meza.

Baada ya siku 2 Tena nkaenda kusex nae, Kisha nkaondoka bila KUACHA posho ya meza.
Ile natoka mlangoni Akanivuta kusema
"Hivi wee Mwanaume unanichukuliaje Mimi? Umeniona mi takataka Sana sio?"

Nkauliza "kwann?"

Akasema "Yaan unakuja,unaondoka TU hata ela ya kula huachi.
Kwenye Ujenzi nako sikuelewi elewi naona umerudi ila Sioni material wala ukiendeleza ujenzi
Ilianza unatoa elfu 15, ukaja elfu 5, sikuhizi naona huachi KABISA.
Hivi wee unahisi mi naishije hapa ndani? Au nimekua jini Mimi?"

Nikawa nimecheka nikamwambia
"kwani Maneno yote Ayo yanatoka wapi mpnz wang, wee sinilishakuachia Ela ya kula wiki 2? , leo wiki ya pili ndo imeanza unaniombaje Ela sasa?"

Akasema,
"Unaemchekea Nani,hapa utoki Lazima unaichie Ela..." Uku ananisachi.

Nikawa namtoa hatoki anaendelea kunikagua mifukoni, nikona uyu mpumbavu.
Nikamziba Kofi, akaiachia suruali yangu.

Nikamwambia,
"ukome na uwe na adabu unapokua unaongea na mm, tabia ya kunisachi Ni ya kimalaya na ife Mara Mona. Usije unarudia huo upuuzi Tena"

Basi nikaondoka zangu.
Sasa kesho yake Sina hili Wala Lile wakapitishwa samaki wazur Sana dukan kwangu.
Nikanunua mafungu mawili, moja likapelekwa kwangu jingine nikamtuma bodaboda wake ampeleke mchepuko kwake.

Basi baadae boda Akanambia kafikisha mzigo, ikabd Nimpigie kumjulisha achukue samak mmoja anichemshie supu jion ntapitia kunywa. Akawa hapokei.
Basi nikamtumia sms.

Ile jion nikapitia kwake kunywa supu yangu, Ila nafika nagonga akaja mlangon akasimama wima.

Akasema,
"Eeh baba wee, ishia uko. Ukitaka kuingia nyumba hii tekeleza nnayoyataka"

Nkamuuliza "yapi Ayo"
Akasema
" kwanza-uwe unanipa elfu 20 yakula kila siku
Pili- unimalizie ile nyumba ndani ya mwezi huu
Tatu- uweke zamu yakulala kwangu.
Huwez kutekeleza Ayo Basi ISHIA HAPO HAPO NJE"

Nkamwambia "sawa"

AkAuliza
"Iyo sawa maana ake Nini, afu ilo jibu lako silipendi linanikera Sana"

Nkamwambia ,
"Sawa maana ake siwez kutelekeza Ayo unayoyahitaji kwa Sasa"

Akasema "aya, ishia huko huko. Wako wanaume wengi sana Kama wewe wanaoweza kutimiza nnayoyahitaji"

Nkamwambia "sawa wakakutimizie Basi"

Akasema " akarud ndan na kufunga mlango wake"

Sasa,
Nikabaki pale nje nimeduwaa, maswali mengi kichwani. Kisha nikaenda zangu nyumbani.

Ni siku ya 5 Sasa karudi kwenye ule utaratibu wake w zamani wa kurusha vijembe status,

Naziona status zake kibao kila Mara, nabaki najiuliza.

[emoji117]Hivi uyu mwanamke ananichukuliaje kwanza?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajiona special Sana eeh?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua kua hapo anapokaa Kodi anahamia nmelipia mm?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua Apo anapojimwambafai nishapita na mdg wake?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua kwamba Apo anapofanya kazi yupo kwa mgongo wangu mimi[emoji848]
[emoji117]Au nimuundie zengwe Tena ahangaike na Dunia ili akili imkae[emoji848]

Wakuu mnisaidieni
Je, NIMWAMBIE UKWELI AU NIMUACHE AENDEEE KUJIMWAMBAFAI[emoji848]

Mwisho
Brother unahela afu unateseka sipati picha ungekua maskini [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mkuu,
Unahisi nmerogwa?[emoji848]
Kabisa[emoji3],haiwezekani mwanaume unapelekeshwa kama gari bovu

Yaani kakuweka kiganjani,lolote chochote anafanya na hauwezi muacha katu

Halafu unamoyo[emoji3],ticha kapasha na unajua nawe ukaunga tela[emoji41]
 
Naomba uwe mchepuko wangu
Aisee nashindwa kuelewa vizuri hapo Kwamba mzinguane ..kipite kipindi then gafla tu unakuja vuuuppp unanivamia kitandani aseeeeehhh!!

Haha mambo ya kuwa mchepuko mi siyawezi kabisa mkuu bora wewe mwanaume uwe nao huko nje!
 
Aisee nashindwa kuelewa vizuri hapo Kwamba mzinguane ..kipite kipindi then gafla tu unakuja vuuuppp unanivamia kitandani aseeeeehhh!!

Haha mambo ya kuwa mchepuko mi siyawezi kabisa mkuu bora wewe mwanaume uwe nao huko nje!
Hahha hujawwahi kuchepuka?
 
Ndo hapo sasa yaani kaliwa karudi tena huyu karogwa
Mwanaume na akili zake timamu hawezi Kuishi na mwanamke wa aina hiyo,

Mwache aendelee kumuigizia kumuachisha kazi nk.lakini hapa mwisho siyo mzuri kabisa

Atakuja alee mtoto asiye wake

Na mchepuko ukijua katoka na mdoho wake[emoji3]yaani wataungana dada na dogo kummaliza kabisa,,,,kwa hilo wala hajamkomoa maana hapendwi yeye,zinapendwa pesa zake.
 
Back
Top Bottom