Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Dahh Mapenzi yanaua ndio hii stori yako .Ukweli ni kuwa unampenda kufa umemfanyia zengwe lote ili uonekane kuwa ww ndio mwema ,tena unampenda na una wivu wa kufa mtu ,na yeye pia anakupenda shida hapo iko ivi kila mtu anataka kukamtroli mwenzake lkn deep down unafurahiya show zake ndio maana hutaki kutoka ktk maisha yake lakini jua unachofanya na wewe unatafanyiwa ikiwa si kwa mke wako basi itakuja kwa mtoto wako wameuza kiwanja chao kwa zengwe lako kwa ajili ya um control ya mwanamke.Mwananke huwezi kukamtroli kama yy hajaamuabasi huwezi na yeyey vile anaangalia security yake ndio maana alitishia kujiua hizo ndio silaha zao kama kweli unampenda muoe kama humpendi dont west yr time for nothing ,lkn kumbuka zengwe ulofanya ni dhulma na itaku kosti hapa hapa na akija akijua atakuchukia maisha yako mambo unayoyafanya ni ujinga na ulimbukeni.
 
Mama watoto wangu bado nampenda Sana, Tena kwa Moyo wangu wote[emoji120]

Na Wala Sitaki ajue Aya yanayoendelea uku duniani.

Ila Sasa kwenye mbilinge mbilinge za kutombener, acha niendelee kupambana na uyu Pasua kichwa wangu[emoji4]
Mchepuko wa kudumu,ngoja akutegeshee mimba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namuelewaa huyoooo viziuri mnooo, ila huyo mdada sijui anakwama wapi? Anapewa ile kitu roho inapenda afu angle zote, daaaaah
Imagine mtu anajengewa na nyumba kabisa daahh!! Pesa anapewa kukojozwa anakojozwa halafu mkojozaji mwenyewe anaonekana masta mambo anayajua anayajua vizuriiii dada atake nini tenaaa!
 
Sasa Ngoja nikumegee Siri Moja dada angu mahondaw,

Nikiwa na mchepuko wangu uyu msumbufu,
Yaan huwa Kuna mikao flan huwa napewa sana Ni mitamu balaa,yaan ule utamu unauskilizia kutokea unyayoni mpaka kichogoni.

Ila sasa Ni ya ajabu mno, afu imekaa kiudhalilishaji Sana kumkalisha vile mtu unamheshimu Sana na amelelewa maadili ya kidini Kama MKE wangu.

Kias kwamba hata kumwambia wife akukalie na kukubinulia vile nafsi inakusuta nda kwa ndan.

Kimoyo moyo naona KABISA hivi Ni vitu vya aibu Sana kumfanyia mke want.

Basi TU, Unajipigia hivo hivo ki-oldschool Kisha unaenda kumalizia kwa mchepuko[emoji4]
Daaah!![emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kuuumbeee!!!akiolewa utapata taabu sana wewe
 
Mh hapo automatic lazima umchubue na hawezi kuinjoy!
Hii kitu hata mwanamke akisumbuliwa Sana na UTI,
Ute Ute unakata haraka Sana

Ndo maana Kama una mwenzi unampenda utakiwi mruhusu kutumia Mara kwa Mara vyoo vya kushea.

UTI Ni turn off kubwa Sana kwa wapenzi linapokuja suala zima la sex.

Ni ya kuepuka kea gharama zozote[emoji4]
 
Wana

wake wengi wakishakuwa kwenye ndoa huwa hawajitumi vitandani, hawajui kuwa mwanaume ndio kwanza anakuwa kafunguliwa koki...unakuta ukimpa kimoko hataki tena anakwambia tulale wtf....wakati wewe unakuta damu inachemka! Hapa lazima michepuko ikumbukwe tu. Tulivyo wanaume ni kuwa ukisema kimoko tulale ,tunalala kweli ila kwesho jua lazima mchepuko akapate vyake vitatu ndio turudi home.
Wee Kama unasimulia maisha yangu kabisa[emoji4]
 
duh braza either una moyo au una pesa mingi, si bora utafute pisikali mtandaoni usuze rungu tu, au kashakulisha vya kulishwa maana sio kwa kumganda huko.

mi mgogoro wa kwanza tu kwenye episode 2 ningeshamdelete na kumsahau. Kama vipi kula dogo huyo tutoto twa chuo hatuna mambo mengi ila usimsomeshe
 
Hii kitu hata mwanamke akisumbuliwa Sana na UTI,
Ute Ute unakata haraka Sana

Ndo maana Kama una mwenzi unampenda utakiwi mruhusu kutumia Mara kwa Mara vyoo vya kushea.

UTI Ni turn off kubwa Sana kwa wapenzi linapokuja suala zima la sex.

Ni ya kuepuka kea gharama zozote[emoji4]
Wee kumbe! So mkuu wewe mnato huwataki kabisa?? Yani ukiwa unapeleka moto raha yako ni ile pwaaaaaa pwaaa pwaaa 😳😳😳😳😳!
 
Hizi mambo za mkuu DeepPond unaziona lakini?? Sio vitu vya kawaida aseeh
Kwa mtu asiezoea anaweza Seema hii Ni chai.
Ila kwny maisha halisia yapo Sana.

Uyu mchepuko wangu ananipa maisha flan amaizing sana napenda kuyaandika kwenye diary yangu.[emoji4]
 
Kwa mtu asiezoea anaweza Seema hii Ni chai.
Ila kwny maisha halisia yapo Sana.

Uyu mchepuko wangu ananipa maisha flan amaizing sana napenda kuyaandika kwenye diary yangu.[emoji4]
Nakuelewa vizuri mkuu Ndiomana nakwambia huyo hata akiolewa mtaendeleza game kama kawa
 
DeepPond bado haujafikia muhafaka???

Tuambie kwanza msimamo wako tujue

Siyo tunakaza mishipa ya shingo hapa kukushauri

halafu baadae waenda kusimamia ukucha kwa mchepuko na kumuonyesha na comment zetu,halafu mtucheke
 
Back
Top Bottom