Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Mmeanza chokochoko Sasa, uchochezi huu[emoji4]

Umewaona Hawa walimwengu mahondaw ?

Kesho watafata na kwako pia Nakadori [emoji4]
Na Keshokutwa tutaskia na kwa Noelia [emoji4]
Afu pia Mtondogoo watahamia kwa Tinsley [emoji4]

Hapo bado hajatajwa cocastic[emoji4]

Yaani Basi TU ili mradi wanichanganye kichwa mpk zikamfikie Mchepuko wangu anune akaninyime tunda langu[emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
Choko choko zipo tuu mbona huwez kuzikwepaa... hapo na wivu wanakuonea ujue
 
Niliposoma mada yako hii nilijiongeza tu kuwa pale ulinipiga na kitu kizito kichwani,, demu Yuko njema tatizo brain aisee na atakusababishia matatizo sijui hata tukusaidiaje hapa maana unakiri mwenyewe hapa kuwa hamnazo ila ndo umenasa, muhimu usiache akili yako nyuma ukiwa nae, angekuwa vizuri upstairs angefaidi sana maana hauko mchoyo, wala mbabaishaji
We muache tu kuna yule mwenye kesi mahakamani na mchepuko... yakimkuta atarudi tutamfarijii
 
Mkuu hii yako haijaisha tunaomba muendelezo hata wa unaokuja najua kuna mengi tunapaswa kujifunza kutoka kwenye hii story yako yani hapa nawaza mwisho wa mahusiano yenu utakuwaje na naona kabisa kama ile nyumba anadhani ni yake [emoji23]
Hapa kama sio kutiwa genye na mistyle style unajifunza nini
 
umeanzaaa na wewe
Udogoni aliruka stage wakati wengine wanachezea hizo vitu sasa ndo kapatia muache aizoee
Inawezekana sana maana mtu mzima mwenye majukumu kiasi flani hawezi fanya/fanywa boya kiasi hiki na mchepuko.

Kupelekeshwa namna ile atapelekeshwa limbukeni wa sex na ambae hana uhakika kwamba atapata sex anytime he wants.

Nahisi hii story ni story tu kama story nyengine na sio kwamba imemtokea jamaa yeye kama yeye
 
Ni ya kweli ...ww huamini eeh
 
@Pendael24 alijuta kupita mtaa huu usiku wa manane. Na ashukuru nililala 4some ingemhusu tena ya lazima apende asipende ashachojolewa. Atakeshaje bar wakati hanywiii??kama sio kutuchora wanywaji ni nini
Hahahaaa hakika 4some ingemuhusu bora alikimbia mwenyewe🤣🤣 Pendael24 siku nyingine ukituvamia tutakulazimisha utake usitake!!😜
 
Back
Top Bottom