DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #841
Habar zenu wakuu,
Nakumbuka January nilileta kisa hapa cha Mchepuko wangu Pasua KICHWA[emoji116]Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?
Nashkuruni Sana kwa mwitikio, maoni ,michango na ushaur mbali mbali mlotoa (MUNGU AWABARIKI SANA).
Wengi walinishaur niendeee nae vile vile ila nisimwambie ukweli wa visa vyote nlivokua namfanyia na kumsababishia makusudi. Likiwemo lile la kutembea na mdg wake kama revenge.
Basi Nikawa nmeuchukua ushaur huo na kuuweka moyoni, Sema Sasa shughuli ikawa narudije Kama Mwanaume na Mimi kujipeleka eti nikaombe au kubembeleza msamaha live kabisa Ni kitu ambayo haiwezekani.
Basi usiku wa tar 1 feb (jumanne) nikawaza hapa MBINU Ni ile ile, kesho jion nkitoka kazin ntaenda kwake ntamvizia TU nimetengenezee mazingira tusex afu ugomvi ule uwe umeisha hivo.
Ila baadae wazo jingine likaja, Sasa Kama siku ile alinizingua pale pale mlangon hata nisiingie. Nikitumia mbinu hii nikamkuta nje, Lazima TU atazingua vile vile nisiingie. Hii mbinu itakua ndo imefeli ivo. Basi wazo jingine likaja.
Kwamba niwai pale kwake kabla yeye hajatoka kazin bado, na kwakua funguo za spea ninazo, bas niingie Moja kwa moja Hadi chumban kwake anikute uko uko. Ili ata akianza kupiga makelele yake tusifaidishe watu na show niimalize mle mle chumban.
Kwaiyo plan ikawa iyo na nikalala zangu.
Basi kesho yake tar 2 (jumatano) asbh kwnye saa 4 hivi nikiwa KAZIni nikaona status yake wasap Tena kaandika
"Ukitaka kujua ulkua na mpenz wa aina gani, sikiliza maneno yake mkishaachana" afu akasindikizia na emoji ile inalia jicho Moja, na ile yenye kununa kwa kubinua mdomo juu.
mmh! Moyo ukastuka ila moyoni nkajisemea
"ndo Maneno yake ayo,nishamzoea uyu"
Basi kwenye saa 6 hivi mchana akanitumia sms.
"Yaani Wee mwanaume una roho mbaya sana, Ata Kama tumeachaa Sio wa kunisema vile Mimi. Kuhatarisha maisha yangu.Nimekuchukia Sana Baba G"
"Na Wafikishie Ujumbe huu wenzio kua kua mda wowote Niko tayar. Wanijaribu afu ndo Watajua Jacky ndo Nani."
Nikasoma haraka haraka Kisha Nikapotezea, kua ndo Maneno yake yule nishamzoea.
Basi nikatulia, ila baada ya dkk 5 za kuwaza na kuwazua. ikabd nirudie kuzisoma vzr Tena zile sms zake neno baada ya neno.
Kisha nikaunganisha na ile status yake ya asbh.
Duh! Machale yakanicheza kua hii kitu sio kawaida.
Huenda Kuna information zimevuja kuhusu kisa changu na yeye, hasa hasa ule Uzi niloweka jf siku 2 zilizopita.
Inaendelea....