Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Ukipeleka kwa Shigongo wanachapa kabisa hii hadithi. Japo nimesoma aya mbili tu za mwanzo, natumaini ni hadithi nzuri iliyojaa mafundisho ya kuisaidia jamii yetu na hasa vijana wanaojaribu kuingia kwenye ndoa huku wakiwa na azma ya kupambana na hekaheka za michepuko. Itawasaidia sana[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Itawasaidia sana tena vijana. Hasa kupata style mpya za kufanya ngono. Hii ya msomali kafia kwenye fiat hata sijui ikoje🤣
 
Aisee mkuu mwanamke kama mchepuko wako ni hatari kwa afya ya ndoa. Yaani anajua sana kucheza na akili ya mwanaume kwa mitego ya hapa na pale mpaka balaa.
Umenikumbusha goma langu moja la kisukuma lilikuwa na pigo hizo, aisee nilipata tabu sana kutengana naye, maana mtoto alikuwa anajua malavidavi.
 
Basi Mwanamke yule akanitafuta anagomba kwann nmefanya vile, nmemdharau sana, nmeona ela yake hainathaman, sio utu ule yeye kachangia kwa Nia njema maana ananipenda. Nkamwambia tutayazungumza nikisharudi. Nikakata sim.

Sasa kwa bahat mbaya nilivoenda kupakia, nkakuta Bei za vitu zimepanda Sana uko. Ikabd Ile bajet nlotenga kununulia material za ujenz niongeze nichukue mzigo wa duka Kama nilivopanga. Nkasema huu ujenz upo ntaendelea nao baadae. Nizungushe kwanza. Afu vitu vingine nkavikosa vya muhimu nkavikosa ikabid nirudi baada ya siku 5 tu badala ya wiki 2 Kama nilivopanga awali.

Sasa Nilivorudi nkakuta mwenzangu kanuna, Basi ukawa mzozo akilalamika kwann nmeukataa mchanga wake. Yakawa Kama yameisha.
Tukasex kisha nikaondoka bila KUACHA posho ya meza.

Baada ya siku 2 Tena nkaenda kusex nae, Kisha nkaondoka bila KUACHA posho ya meza.
Ile natoka mlangoni Akanivuta kusema
"Hivi wee Mwanaume unanichukuliaje Mimi? Umeniona mi takataka Sana sio?"

Nkauliza "kwann?"

Akasema "Yaan unakuja,unaondoka TU hata ela ya kula huachi.
Kwenye Ujenzi nako sikuelewi elewi naona umerudi ila Sioni material wala ukiendeleza ujenzi
Ilianza unatoa elfu 15, ukaja elfu 5, sikuhizi naona huachi KABISA.
Hivi wee unahisi mi naishije hapa ndani? Au nimekua jini Mimi?"

Nikawa nimecheka nikamwambia
"kwani Maneno yote Ayo yanatoka wapi mpnz wang, wee sinilishakuachia Ela ya kula wiki 2? , leo wiki ya pili ndo imeanza unaniombaje Ela sasa?"

Akasema,
"Unaemchekea Nani,hapa utoki Lazima unaichie Ela..." Uku ananisachi.

Nikawa namtoa hatoki anaendelea kunikagua mifukoni, nikona uyu mpumbavu.
Nikamziba Kofi, akaiachia suruali yangu.

Nikamwambia,
"ukome na uwe na adabu unapokua unaongea na mm, tabia ya kunisachi Ni ya kimalaya na ife Mara Mona. Usije unarudia huo upuuzi Tena"

Basi nikaondoka zangu.
Sasa kesho yake Sina hili Wala Lile wakapitishwa samaki wazur Sana dukan kwangu.
Nikanunua mafungu mawili, moja likapelekwa kwangu jingine nikamtuma bodaboda wake ampeleke mchepuko kwake.

Basi baadae boda Akanambia kafikisha mzigo, ikabd Nimpigie kumjulisha achukue samak mmoja anichemshie supu jion ntapitia kunywa. Akawa hapokei.
Basi nikamtumia sms.

Ile jion nikapitia kwake kunywa supu yangu, Ila nafika nagonga akaja mlangon akasimama wima.

Akasema,
"Eeh baba wee, ishia uko. Ukitaka kuingia nyumba hii tekeleza nnayoyataka"

Nkamuuliza "yapi Ayo"
Akasema
" kwanza-uwe unanipa elfu 20 yakula kila siku
Pili- unimalizie ile nyumba ndani ya mwezi huu
Tatu- uweke zamu yakulala kwangu.
Huwez kutekeleza Ayo Basi ISHIA HAPO HAPO NJE"

Nkamwambia "sawa"

AkAuliza
"Iyo sawa maana ake Nini, afu ilo jibu lako silipendi linanikera Sana"

Nkamwambia ,
"Sawa maana ake siwez kutelekeza Ayo unayoyahitaji kwa Sasa"

Akasema "aya, ishia huko huko. Wako wanaume wengi sana Kama wewe wanaoweza kutimiza nnayoyahitaji"

Nkamwambia "sawa wakakutimizie Basi"

Akasema " akarud ndan na kufunga mlango wake"

Sasa,
Nikabaki pale nje nimeduwaa, maswali mengi kichwani. Kisha nikaenda zangu nyumbani.

Ni siku ya 5 Sasa karudi kwenye ule utaratibu wake w zamani wa kurusha vijembe status,

Naziona status zake kibao kila Mara, nabaki najiuliza.

[emoji117]Hivi uyu mwanamke ananichukuliaje kwanza?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajiona special Sana eeh?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua kua hapo anapokaa Kodi anahamia nmelipia mm?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua Apo anapojimwambafai nishapita na mdg wake?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua kwamba Apo anapofanya kazi yupo kwa mgongo wangu mimi[emoji848]
[emoji117]Au nimuundie zengwe Tena ahangaike na Dunia ili akili imkae[emoji848]

Wakuu mnisaidieni
Je, NIMWAMBIE UKWELI AU NIMUACHE AENDEEE KUJIMWAMBAFAI[emoji848]

Mwisho
Mwachie aendelee kujimwambafy, naona hata wewe unapata raha ndani ya nafsi yako!
 
Ila wanaume mhh kiboko aisee!!! Achana nae stress akupe mkeo bwana sio mchepuko, halafu mchepuko unakudanga tu wala hakupendi ukisikia mtu kitu ndio huyo sasa... ila Jamani hujionei huruma kweli mbona majukumu mengi hivyo.. hebu waache basi
Yaani mke katulia, Ila jamaa yuko mbio mitaani huko! Weird!
 
Mrejesho[emoji4][emoji116]


Cc: Nakadori
Tipstipstor
Tinsley
@Extroverts
mbalizi1
mahondaw
cocastic
KENZY
Offisho_Kid
mkwepu jr
Noelia
reymage
Dinazarde
buffalo44
kallenge
Katriel
Lovelovie
chuma cha mjerumani
maishapopote
Present
 
Msomali kafia kwenye fiat hii ndio ikoje[emoji1787]
Ha ha ha... Huijui?
Mbona ya miaka mingi Sana iyo.

Tena zana ilkua ikiitwa DUMULO DUMULO, wale watu wa Mikoa ya pwani wanaijua sana hii[emoji4]

Sema Sasa vijana wa skuhz ndo mmeitrend Sana na jina la msomali Katia kwny Fiat, limeshika kweli kweli[emoji4]
 
Back
Top Bottom