Huyu mchepuko ana masharti magumu sana, ni binadamu halisi kweli au nimevamia kambi? πŸ€”

Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🀝🀝
- Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka masharti magumu kwa sababu zao binafsi. Au Inawezekana mtu huyu anafanya hivyo ili kujilinda kutokana na mpitio mbaya wa zamani, au labda ni sehemu ya tabia zake za kawaida.

β€’ Lakini Huyu mchepuko anaweka masharti magumu sana kwenye uhusiano wa kimapenzi, Kutokana na hali hiyo, mda mwingine najiuliza kwamba ni binadamu halisi kweli? , tabia zake zinanifanya niwe na mashaka.

β€’ Lakini Kwa huyu mwanamke nimekuwa na wasiwasi kuhusu uhalisia wake, nimejaribu kumjua zaidi, kuzungumza naye kwa ukaribu kuhusu hisia na matarajio yake, na kuona kama kuna uwiano wa matarajio katika uhusiano wetu wa kupotezeana mda.

β€’ Lakini masharti yake yanaonekana kuwa magumu sana ambayo yananifanya niamini huyu mwanamke kuna kitu nyuma na mbele ya pazia:-

Ebu fikiria misimamo yake
1. Marufuku kufanya mapenzi siku ya alhamisi usiku na ijumaa - kwasababu ni siku ya ibada.​
2. Marufuku Kufanya mapenzi siku ya jumanne - kwasababu majini huwa yanamtembelea kumsalimia.​
3. Marufuku kufanya mapenzi muda wa mchana - amesema hajazoea na watu wake hawapendi afanye mapenzi mda wa mchana.​

Ukaguzi wa kimwili
1. Nimejaribu kuafiatilia hizo siku labda kama anamchepuko namba mbili lakini wapi.​
2. Nimejaribu kumkagua mwili mzima labda nione kama kuna kitu mwilini anaogopa nisikione muda wa mchana, Lakini yupo vizuri kabisa.​
3. Amefika mbali zaidi, ili kuniamisha kuwa hana mchepuko namba mbili, hizo siku za umimi wa utelezi huwa anakuja ofisini kwangu nashinda naye mpaka muda wa kufunga ofisi.​
4. Nyumba yake anayokaa, inanukia manukato ya hali juu,​
Mabaharia na wana mito, limekajaake hili? πŸ€’πŸ€’πŸ€’
Bro umekamatwa, hauwezi kung'atuka hapo bila damu ya YESU KRISTO. Nakuombea utoke katika hiko kifungo, utafanikiwa kutoka kama nafsi yako iko tayari ikiongozwa na uwezo wa akiri yako kuanzia sasa
 
Mkuu, nisaidie kupata damu ya yesu kristo, ili nipate kuokolewa πŸ™‚πŸ™‚
 
Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. [emoji1666][emoji1666]
- Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka masharti magumu kwa sababu zao binafsi. Au Inawezekana mtu huyu anafanya hivyo ili kujilinda kutokana na mpitio mbaya wa zamani, au labda ni sehemu ya tabia zake za kawaida.

β€’ Lakini Huyu mchepuko anaweka masharti magumu sana kwenye uhusiano wa kimapenzi, Kutokana na hali hiyo, mda mwingine najiuliza kwamba ni binadamu halisi kweli? , tabia zake zinanifanya niwe na mashaka.

β€’ Lakini Kwa huyu mwanamke nimekuwa na wasiwasi kuhusu uhalisia wake, nimejaribu kumjua zaidi, kuzungumza naye kwa ukaribu kuhusu hisia na matarajio yake, na kuona kama kuna uwiano wa matarajio katika uhusiano wetu wa kupotezeana mda.

β€’ Lakini masharti yake yanaonekana kuwa magumu sana ambayo yananifanya niamini huyu mwanamke kuna kitu nyuma na mbele ya pazia:-

Ebu fikiria misimamo yake
1. Marufuku kufanya mapenzi siku ya alhamisi usiku na ijumaa - kwasababu ni siku ya ibada.​
2. Marufuku Kufanya mapenzi siku ya jumanne - kwasababu majini huwa yanamtembelea kumsalimia.​
3. Marufuku kufanya mapenzi muda wa mchana - amesema hajazoea na watu wake hawapendi afanye mapenzi mda wa mchana.​

Ukaguzi wa kimwili
1. Nimejaribu kuafiatilia hizo siku labda kama anamchepuko namba mbili lakini wapi.​
2. Nimejaribu kumkagua mwili mzima labda nione kama kuna kitu mwilini anaogopa nisikione muda wa mchana, Lakini yupo vizuri kabisa.​
3. Amefika mbali zaidi, ili kuniamisha kuwa hana mchepuko namba mbili, hizo siku za umimi wa utelezi huwa anakuja ofisini kwangu nashinda naye mpaka muda wa kufunga ofisi.​
4. Nyumba yake anayokaa, inanukia manukato ya hali juu,​
Mabaharia na wana mito, limekajaake hili? [emoji855][emoji855][emoji855]
Oya wewe chapa mpaka itoe vumbi awe jini au aliens atajua yeye mwenyewe wewe chakata Tu na nafata mashart yake Mambo madogo Hayo

Inaonekana mchepuko hela haombi huyo
 
Kwenye hela, huwa haniombi kabisa labda nijiongeze mwenyewe tu.

. Shida ni hapo tu kwenye mazingaombwe πŸ™‚πŸ™‚
 
Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🀝🀝
- Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka masharti magumu kwa sababu zao binafsi. Au Inawezekana mtu huyu anafanya hivyo ili kujilinda kutokana na mpitio mbaya wa zamani, au labda ni sehemu ya tabia zake za kawaida.

β€’ Lakini Huyu mchepuko anaweka masharti magumu sana kwenye uhusiano wa kimapenzi, Kutokana na hali hiyo, mda mwingine najiuliza kwamba ni binadamu halisi kweli? , tabia zake zinanifanya niwe na mashaka.

β€’ Lakini Kwa huyu mwanamke nimekuwa na wasiwasi kuhusu uhalisia wake, nimejaribu kumjua zaidi, kuzungumza naye kwa ukaribu kuhusu hisia na matarajio yake, na kuona kama kuna uwiano wa matarajio katika uhusiano wetu wa kupotezeana mda.

β€’ Lakini masharti yake yanaonekana kuwa magumu sana ambayo yananifanya niamini huyu mwanamke kuna kitu nyuma na mbele ya pazia:-

Ebu fikiria misimamo yake
1. Marufuku kufanya mapenzi siku ya alhamisi usiku na ijumaa - kwasababu ni siku ya ibada.​
2. Marufuku Kufanya mapenzi siku ya jumanne - kwasababu majini huwa yanamtembelea kumsalimia.​
3. Marufuku kufanya mapenzi muda wa mchana - amesema hajazoea na watu wake hawapendi afanye mapenzi mda wa mchana.​

Ukaguzi wa kimwili
1. Nimejaribu kuafiatilia hizo siku labda kama anamchepuko namba mbili lakini wapi.​
2. Nimejaribu kumkagua mwili mzima labda nione kama kuna kitu mwilini anaogopa nisikione muda wa mchana, Lakini yupo vizuri kabisa.​
3. Amefika mbali zaidi, ili kuniamisha kuwa hana mchepuko namba mbili, hizo siku za umimi wa utelezi huwa anakuja ofisini kwangu nashinda naye mpaka muda wa kufunga ofisi.​
4. Nyumba yake anayokaa, inanukia manukato ya hali juu,​
Mabaharia na wana mito, limekajaake hili? πŸ€’πŸ€’πŸ€’
Mkuu ndugu zako wasije kukutafuta tu..

Funga ndoa mazima kaanze Maisha mapya na jini.
 
Nisije pelekwa baharini mazima, wana JF, Nitawakumbuka sana πŸ˜€πŸ˜€.
 
Hao watu wake a.k.a wadudu wake a.k.a majini maana yake huyo ni mtu jini.
Tunaposema mtu wa Mungu maana yake Roho wa Mungu a.k.a Roho Mtakatifu anakaa ndani yake.
Huyo ni mtu wa Ibilisi nashangaa amekuweka wazi lakini bado unahangahika naye.
3 yrs later nakuona uko mahali pabaya
 
Back
Top Bottom