Huyu mchepuko nimfanye nini?

Acha utoto asee

Kwan vyuo hajifunguliwa
 
Ningekua jirani hapo ungekula mbata mpaka unye.
Huo ndio ushauri.
Kenge maji we nasisitiza :KENGE MAJI"
 
bila shaka ulimsimulia ulivyozamaga kwenye swimming pool ndio maana anakuita kenge maji🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚si ndio huyuhuyu alikuita chawa mwaka Jana?
 
Kuitwa malaya umekubali ila umemaindi hilo kenge maji?
 
Nitumie namba za huyo mchepuko nataka nimpe ushauri wa kisaikolojia!
 
Lijinga sana, unampiga mtoto wa kike???? Idiot
 
Tulia we kenge mMA,πŸ˜‚

Sasa mkuu kuitwa kenge maji ndio umpige, kakufumania, anachapata kwako ndio na mwenzie kakifata, we chuna akitaka atakutafuta, hataki kausha chapa ndonga huyo mchepuko mwingine.

Au we ndio unampenda sana huyo mchepuko?
Wazinzi wamefumaniana .....
 
Mbona una micheps wengi namna hii? Nilidhani mke + mcheps mmoja wanatosha kuifurahisha nafsi yako na swala zima la tamaa za mwili, wawili +wife mbona kama wengi sana.
 
Kwahiyo kakuita kenge maji???hivi unamjua kenge maji kweli?hhahahahhhaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…