Huyu mchepuko nimfanye nini?

Umeongea kwa hasira sana Mitchell.
Ameniboa mkuu, mwenzie pamoja na kuwa anajijua ni mchepuko kashindwa kuhimili hasira zake kwa wivu aliokuwa nao yeye anamdhihaki eti kisa kaitwa kenge maji ... fyuuuu
 
Mbona una micheps wengi namna hii? Nilidhani mke + mcheps mmoja wanatosha kuifurahisha nafsi yako na swala zima la tamaa za mwili, wawili +wife mbona kama wengi sana.
Umalaya tu unamsumbua na atapata anachokitafuta 🤣
 
Ameniboa mkuu, mwenzie pamoja na kuwa anajijua ni mchepuko kashindwa kuhimili hasira zake kwa wivu aliokuwa nao yeye anamdhihaki eti kisa kaitwa kenge maji ... fyuuuu
Pole sana mkuu!
 
sawa kenge maji
 
Hahahahaha umefanya nimecheka sana eti "KENGE MAJI"
 
Na kenge maji lazima awe anagonga kenge maji...hivyo nyie nyote ni kenge maji!
 
Na kenge maji lazima awe anagonga kenge maji...hivyo nyie nyote ni kenge maji!
mkuu kama hujufunzwa adabu kwenu mie nitajitolea kukufunza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…