pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Konde boy ni next level bora hata hujamuweka maana katika hao hakuna anayemfikiawachezaji wa kigeni bora kuwahi kuwaona kwenye hii ligi ya kwetu mimi ni Chama, Okwi na Sakho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Konde boy ni next level bora hata hujamuweka maana katika hao hakuna anayemfikiawachezaji wa kigeni bora kuwahi kuwaona kwenye hii ligi ya kwetu mimi ni Chama, Okwi na Sakho.
Kweli kabisa sasa unapewa mbio kama za moloko na kisinda zinafaida gani kwa mechi ya jana huyo muloko angekuwa na akili kama za basi alikuwa anaondoka na hatrick lakini yeye anawaza mbio tu hana tofauti na kibu denis na mzamiru mi nawaita wachezaji ambao hawana akili.Kiungo mwenye spidi ya konokono ambaye hucheza vizuri akikutana na vitimu vidogo. Pale anapokutana na timu zinazo eleweka uwa hajulikani kama yupo uwanjani.
Habari za kisinda kamuulize Onyango.Kweli kabisa sasa unapewa mbio kama za moloko na kisinda zinafaida gani kwa mechi ya jana huyo muloko angekuwa na akili kama za basi alikuwa anaondoka na hatrick lakini yeye anawaza mbio tu hana tofauti na kibu denis na mzamiru mi nawaita wachezaji ambao hawana akili.
Mtoe mzamiru hapo....Kweli kabisa sasa unapewa mbio kama za moloko na kisinda zinafaida gani kwa mechi ya jana huyo muloko angekuwa na akili kama za basi alikuwa anaondoka na hatrick lakini yeye anawaza mbio tu hana tofauti na kibu denis na mzamiru mi nawaita wachezaji ambao hawana akili.
Nonda Shaban unamuweka wapiwachezaji wa kigeni bora kuwahi kuwaona kwenye hii ligi ya kwetu mimi ni Chama, Okwi na Sakho.
Ndo maana Eymael alisema ninyi ni Mbwa na Nyani. Maana Pamoja na kuwa na Mesi bado Barca walikuwa wanafungwa. Argentina walikuwa na Maradona hujawepo hata kiunoni mwa babayo na walikuwa wanafungwa.Kwa sifa hizi ulizommwagia Chama, Makolo wangekuwa wanapata ushindi kwa [emoji817].
Ni Yanga wengi shule hamna? Yaani kama umeshindwa kujua hata alama au vituo utaujua mpira kweli? Hujui kuandika hujui kila kitu. Kilaza kama alivyosema Manara na Mbwa kalama alivyosema kocha wenu Luc EymaelMtumwenyechiba anauboraganihuyo
Mmemsahau Kisinda aliyefaulu ligi ya Morocco akarudi tena Yanga?🤣🤣🤣Usimfananishe Aziz Ki Na Mchezaji Aliyefeli Ligi Ya Morocco [emoji28][emoji28]
Chama ni mzawa au sio?Acheni kutukuza wageni!
Mrisho Ngasa aliwahi kupiga back to back Hat tricks tena mechi moja alipiga goli 4 nadhani, kwenye Michuano ya CAF enzi hizo!
Of course ilikuwa game na wachovu wa Shelisheli, Comoro na Madagascar huko, type ya hao Zalan FC.
Mmemsahau Kisinda aliyefaulu ligi ya Morocco akarudi tena Yanga?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]