Huyu mchezaji Kiwango chake kinazidi Kukua Kila siku katika mechi za Kimatifa

Huyu mchezaji Kiwango chake kinazidi Kukua Kila siku katika mechi za Kimatifa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Ni mchezaji asiye na maneno mengi, ambaye hakuwahi kupendwa sana na watanzania wengi. Lakini ni mchezaji ambaye tunamwona akizidi kuimalika kwa kiwango kikubwa sana kadri siku zinavyoenda

John Bocco... Na akiwa na mafanikio mazuri katika mechi za kimataifa kucheza kwa utulivu na kujiamini hata kuweza ku assist kwenye mechi nyingi za simba kimataifa na hata jana Taifa Stars na kuibuka Man of the match.

Screenshot_20190325-092154~2.png
 
Kwa hiyo wewe ni gongo wazi?😄😄😄

Hakuna mchezaji ninayemkubali Bongo kama Bocco.
Toka alipoifunga majimaji pale Dodoma mwaka 2008 na kuipandisha Azam ligi kuu. Nami nikaamua nihamie Azam mwaka huo kumfuta yeye.
Huwa unaangalia mechi za mikia nyingi sababu yake yeye.
 
Huyu jamaa wengi wanasema hivyo hana maneno mengi. Yupo humble sana

Boko ameimprove sana siku hizi. Toka aingie simba ni kama kazaliwa tena na kuna watu walisema kaisha.
Pia anaonekana jamaa mmoja mpole hivi hana maneno mengi.
 
Hakuna kitu ni kama MWAIKIMBA TU... Tuache sifa za kipumbavu na ndio maana hatufanikiwi.. Nafasi yake alifaa acheze yule dogo CHILUNDA ila basi tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom