Huyu mchezaji Kiwango chake kinazidi Kukua Kila siku katika mechi za Kimatifa

Huyu mchezaji Kiwango chake kinazidi Kukua Kila siku katika mechi za Kimatifa

Mi ninachoamini kwenye mpira ni uwekezaji. Yaaan mshiko wa maana na si vinginevyo kitu ambacho simba wamekiona.
Kama utakumbuka baadhi ya wachambuzi akiwemo shaffih. Walikuwa wakiibeza sana simba msimu ulioisha kwamba wametumia 1.3billions. Ikawa inaonekana kama simba wanapoteza tu hela bure but now matunda ya Ile 1.3b inaonekana
 
Utaenda wewe... Wewe na mzee wako mme mprove ndo ukapatikana na huo wivu wa kike.unakuja kulia lia kuhusu ajib...ni bwana ako? Maana hapa tunazungumzia kazi alizofanya bocco akiwa na simba na jana akiwa na taifa stars... Man of the match. Ajib zuhera mwenyewe hampangi 11st eleven smtme sababu hana nidhamu ya mpira. Wenzie umri huo wanasukuma kabumbu...kama akina babu kagere😀😀😀 mzee wa kuingiza kichwa tu ...

Hapa ndipo umeharibu shabiki wa mikia, mwanzo nilidhani ni uzi serious, kumbe ni utani mwingine

Huyo babu hana room ya ku improve, ameshakuwa kikongwe. Hata Afcon amewatengenezea tu njia akina Ajib, yeye haendi ng'oo ....... Mark my word

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sharrifa dauda mchambuzi wa mchele ambaye baada ya kukosa nafasi ya usemaji wa simu akajigeuza kuwa adui wa simba...na kuichukia simba na mafanikio yake...leo hii hata yanga wanaona aibu.wao wamebebwa miaka yote hiyo minne hawakuwahi fika hatua hii.... Wanatembea kama wamejinyea wanapokutana na wanasimba....wakisema simba imesajiri wazee... Wakasahau isiyo kongwe haivushi.

Mi ninachoamini kwenye mpira ni uwekezaji. Yaaan mshiko wa maana na si vinginevyo kitu ambacho simba wamekiona.
Kama utakumbuka baadhi ya wachambuzi akiwemo shaffih. Walikuwa wakiibeza sana simba msimu ulioisha kwamba wametumia 1.3billions. Ikawa inaonekana kama simba wanapoteza tu hela bure but now matunda ya Ile 1.3b inaonekana
 
Sharrifa dauda mchambuzi wa mchele ambaye baada ya kukosa nafasi ya usemaji wa simu akajigeuza kuwa adui wa simba...na kuichukia simba na mafanikio yake...leo hii hata yanga wanaona aibu.wao wamebebwa miaka yote hiyo minne hawakuwahi fika hatua hii.... Wanatembea kama wamejinyea wanapokutana na wanasimba....wakisema simba imesajiri wazee... Wakasahau isiyo kongwe haivushi.
ki ukweli shaffih kajishushia heshima kisa tu ushabiki. Na mungu kamwonesha unafiki wake kupitia simba.kwamba Yes why not us.we can. and we did it.
Jana nilimsikia amunike akisema sio mambo ya kuweka system. no mda wakupambana nilijua yes. Kawaweza vichwa panzi
 
Nadhani sijakusema kwa ubaya... Nmeelewa kuwa mliokuja late dsm na wale wanaonuka maziwa ndo wanaweza kuwa na team nyingine .siyo kosa hata kidogo...ni haki yako ya kikatiba 😁😁😁
Ndo ile dhana kuwa wanaJF wote wanaishi Dar.
Nina mwaka wa 5 sahizi sijafika huko, bado nipo Namtumbo
 
Hakuna kitu ni kama MWAIKIMBA TU... Tuache sifa za kipumbavu na ndio maana hatufanikiwi.. Nafasi yake alifaa acheze yule dogo CHILUNDA ila basi tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kacheze sindimba! nakushauri tuu
tukisema tuanze kukuelewesha hapa tutakuwa tunajisumbua!
chilunda ulimuona kule Maseru Lesotho alivyokuwa anacheza??
nikisema niweke mambo aliyofanya bocco ..yatajaza server buree.
 
Hii timu ya taifa ya Tanzania bila Kelvin Yondan huwa inakuwa ktk hatari hatari sana
 
Ajib ana assist ngapi kwenye mechi za kimataifa?
Na hilo ndio tatizo lingine lililofanya twende AFCON kwa mashakamasha. Ajib angekuwepo timu ya taifa naamini mechi ya juzi ingekuwa ni sehemu ya maandalizi ya michuano yenyewe
 
Ni mchezaji asiye na maneno mengi, ambaye hakuwahi kupendwa sana na watanzania wengi. Lakini ni mchezaji ambaye tunamwona akizidi kuimalika kwa kiwango kikubwa sana kadri siku zinavyoenda

John Bocco... Na akiwa na mafanikio mazuri katika mechi za kimataifa kucheza kwa utulivu na kujiamini hata kuweza ku assist kwenye mechi nyingi za simba kimataifa na hata jana Taifa Stars na kuibuka Man of the match.

View attachment 1053474
huyu kibabu tayari...
 
Daaah... Zamani wanawake walikuwa hawapendani wenyewe kwa wenyewe sasa mmeanza hata kuwachukia na kuwaonea wivu huo wanaume? Hatari sana.

Kwani assist 2 tayari Kawa mchezaji mzuri..!?? Hilo ni gharasa tu hamna kitu hapo.

MGC
 
Ni bora 10x kuliko wajukuu walioko yanga na babu zao walioko huko wasio na faida. Bocco alisaidia kuwapapasa matitiki kagere alipoingiza kichwa mkazaa watoto watatu kwa simba mapacha. Bocco was there😂😂😆

huyu kibabu tayari...
 
Back
Top Bottom