popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
HaswaaaaMkuu ulishaambiwa hapa hakuna cha Boko, Samatta wala Msuva, kamati ya ushindi ndio kila kitu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaswaaaaMkuu ulishaambiwa hapa hakuna cha Boko, Samatta wala Msuva, kamati ya ushindi ndio kila kitu!!!
Azam kumejaa mamluki ambao kwa asili ni aidha wanashabikia Yanga au Simba....somehow wanashiriki kuihujumu timu kwenye decision making process....sikuelewa maamuzi ya kuwatoa wachezaji kwenda kwa local competitors wao...Bocco, Wawa, Erasto(ananikumbusha Maximo alivyomuibua kutoka Burundi) etc....Nadhani Azam fc. Walijichanganya kuwauza hawa wachezaji.
Bocco
Nyoni
Gadiel
Manula
NA kapombe. Huenda wangekuwa wanawakirisha nchi wakiwa na Uzi wa blue. All in all wote wanajielewa.hongera k wao
Mkuu Mimi siko vyura wala Mikia.Kwa hiyo wewe ni gongo wazi?😄😄😄
Uliangalia mpira jana? Hajapewa man of the match na Makonda.Hakuna kitu ni kama MWAIKIMBA TU... Tuache sifa za kipumbavu na ndio maana hatufanikiwi.. Nafasi yake alifaa acheze yule dogo CHILUNDA ila basi tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wawa hajatokea Azam moja kwa moja, alikwenda el merreikh ndio simba wamemchukulia huko.Azam kumejaa mamluki ambao kwa asili ni aidha wanashabikia Yanga au Simba....somehow wanashiriki kuihujumu timu kwenye decision making process....sikuelewa maamuzi ya kuwatoa wachezaji kwenda kwa local competitors wao...Bocco, Wawa, Erasto(ananikumbusha Maximo alivyomuibua kutoka Burundi) etc....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu ni kama MWAIKIMBA TU... Tuache sifa za kipumbavu na ndio maana hatufanikiwi.. Nafasi yake alifaa acheze yule dogo CHILUNDA ila basi tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
duu!Hakuna kitu ni kama MWAIKIMBA TU... Tuache sifa za kipumbavu na ndio maana hatufanikiwi.. Nafasi yake alifaa acheze yule dogo CHILUNDA ila basi tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mimi siko vyura wala Mikia.
Mimi ni Azam ,wadau wa soka humu toka nimejiunga 8 years ago wanajua nashabikia lambalamba na mwanangu ndetichia .
Nimeanza kuishabikia Azam mwaka wa kwanza IPO ligi kuu
Ila kamati ya ushindi iongeze umakini kidogo hasa kwa yule jamaa anayemulika Tochi kipa wa Timu pinzani aongeze shabaha ya kulenga macho ya Kipa na sio kumulika Tochi kizembe.Mkuu ulishaambiwa hapa hakuna cha Boko, Samatta wala Msuva, kamati ya ushindi ndio kila kitu!!!
kwani sisi ambao tunanuka maziwa ya mtoto hatutakiwi kushabikia timu zingine tofauti na hizo?Kumbe bado unanuka maziwa mtoto mdogo...au umekuja mjini juzi juzi... Tanzania kuna mashabiki wawili tu. Simba na Yanga.
kwani sisi ambao tunanuka maziwa ya mtoto hatutakiwi kushabikia timu zingine tofauti na hizo?
Au ulitaka wote tuwahi kuzaliwa ili tushabikie hizo timu zenu?
Ajib ana assist ngapi kwenye mechi za kimataifa?Yaani mara hii mlishaamua kumsahau Ajibu maasisti?
Katoa assist 2 mkuu,usimdharau kiasi hikiHakuna mchezaji hapo
MGC
Hapa ndipo umeharibu shabiki wa mikia, mwanzo nilidhani ni uzi serious, kumbe ni utani mwingineKwa hiyo wewe ni gongo wazi?[emoji1][emoji1][emoji1]
Nimemuangalia mechi mbili za Simba za kimataifa na mechi ya stars dhidi ya Uganda,, nimegundua nilikuwa namu underate Sana Bocco!Ni mchezaji asiye na maneno mengi, ambaye hakuwahi kupendwa sana na watanzania wengi. Lakini ni mchezaji ambaye tunamwona akizidi kuimalika kwa kiwango kikubwa sana kadri siku zinavyoenda
John Bocco... Na akiwa na mafanikio mazuri katika mechi za kimataifa kucheza kwa utulivu na kujiamini hata kuweza ku assist kwenye mechi nyingi za simba kimataifa na hata jana Taifa Stars na kuibuka Man of the match.
View attachment 1053474
Mpango mkakati wa kuisaidia mikia baada ya EDA ya muda mrefu..Nadhani Azam fc. Walijichanganya kuwauza hawa wachezaji.
Bocco
Nyoni
Gadiel
Manula
NA kapombe. Huenda wangekuwa wanawakirisha nchi wakiwa na Uzi wa blue. All in all wote wanajielewa.hongera k wao
imagine kama Azam fc ingekuwa nao kisha wakatafuta kina kipre wengine. Ungekuwa one of best in Tanzania. Eti saa hii wanajivunia kagame na mapinduzi cup.Mpango mkakati wa kuisaidia mikia baada ya EDA ya muda mrefu..