Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
AiseeHakuna mchezaji hapo
MGC
Poa tumeshajua upo Los Angels Marekani.mchezaji namba moja ninaemkubali katika mpira huko tanzania
Wachezaji wote wakifuata discipline hiyo watafanikiwa Sana...Nidhamu na kujituma ndio siri ya mafanikio kwake
Wachezaji wote wakifuata discipline hiyo watafanikiwa Sana...
Hongera TZ
Bravo....wish them success .Nadhani Azam fc. Walijichanganya kuwauza hawa wachezaji.
Bocco
Nyoni
Gadiel
Manula
NA kapombe. Huenda wangekuwa wanawakirisha nchi wakiwa na Uzi wa blue. All in all wote wanajielewa.hongera k wao
Yaani mara hii mlishaamua kumsahau Ajibu maasisti?...John Bocco... Na akiwa na mafanikio mazuri katika mechi za kimataifa kucheza kwa utulivu na kujiamini hata kuweza ku assist kwenye mechi nyingi za simba kimataifa na hata jana Taifa Stars ...
Yaani mara hii mlishaamua kumsahau Ajibu maasisti?
Hakuna mchezaji ninayemkubali Bongo kama Bocco.
Toka alipoifunga majimaji pale Dodoma mwaka 2008 na kuipandisha Azam ligi kuu. Nami nikaamua nihamie Azam mwaka huo kumfuta yeye.
Huwa unaangalia mechi za mikia nyingi sababu yake yeye.
Boko ameimprove sana siku hizi. Toka aingie simba ni kama kazaliwa tena na kuna watu walisema kaisha.
Pia anaonekana jamaa mmoja mpole hivi hana maneno mengi.