Hapa ndipo umeharibu shabiki wa mikia, mwanzo nilidhani ni uzi serious, kumbe ni utani mwingine
Huyo babu hana room ya ku improve, ameshakuwa kikongwe. Hata Afcon amewatengenezea tu njia akina Ajib, yeye haendi ng'oo ....... Mark my word
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpango mkakati wa kuisaidia mikia baada ya EDA ya muda mrefu..
Mi ninachoamini kwenye mpira ni uwekezaji. Yaaan mshiko wa maana na si vinginevyo kitu ambacho simba wamekiona.
Kama utakumbuka baadhi ya wachambuzi akiwemo shaffih. Walikuwa wakiibeza sana simba msimu ulioisha kwamba wametumia 1.3billions. Ikawa inaonekana kama simba wanapoteza tu hela bure but now matunda ya Ile 1.3b inaonekana
ki ukweli shaffih kajishushia heshima kisa tu ushabiki. Na mungu kamwonesha unafiki wake kupitia simba.kwamba Yes why not us.we can. and we did it.Sharrifa dauda mchambuzi wa mchele ambaye baada ya kukosa nafasi ya usemaji wa simu akajigeuza kuwa adui wa simba...na kuichukia simba na mafanikio yake...leo hii hata yanga wanaona aibu.wao wamebebwa miaka yote hiyo minne hawakuwahi fika hatua hii.... Wanatembea kama wamejinyea wanapokutana na wanasimba....wakisema simba imesajiri wazee... Wakasahau isiyo kongwe haivushi.
Ndo ile dhana kuwa wanaJF wote wanaishi Dar.Nadhani sijakusema kwa ubaya... Nmeelewa kuwa mliokuja late dsm na wale wanaonuka maziwa ndo wanaweza kuwa na team nyingine .siyo kosa hata kidogo...ni haki yako ya kikatiba 😁😁😁
Ndo ile dhana kuwa wanaJF wote wanaishi Dar.
Nina mwaka wa 5 sahizi sijafika huko, bado nipo Namtumbo
basi yaishe so sote. Wapiga debe kuna wenyew huko. Let us enjoy our self.Ndo ile dhana kuwa wanaJF wote wanaishi Dar.
Nina mwaka wa 5 sahizi sijafika huko, bado nipo Namtumbo
mkuu kacheze sindimba! nakushauri tuuHakuna kitu ni kama MWAIKIMBA TU... Tuache sifa za kipumbavu na ndio maana hatufanikiwi.. Nafasi yake alifaa acheze yule dogo CHILUNDA ila basi tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda, who is he..?? Just a https://jamii.app/JFUserGuide.....n guy..Uliangalia mpira jana? Hajapewa man of the match na Makonda.
Kwani assist 2 tayari Kawa mchezaji mzuri..!?? Hilo ni gharasa tu hamna kitu hapo.Katoa assist 2 mkuu,usimdharau kiasi hiki
Popoma usie jielewa wewe
Na hilo ndio tatizo lingine lililofanya twende AFCON kwa mashakamasha. Ajib angekuwepo timu ya taifa naamini mechi ya juzi ingekuwa ni sehemu ya maandalizi ya michuano yenyeweAjib ana assist ngapi kwenye mechi za kimataifa?
huyu kibabu tayari...Ni mchezaji asiye na maneno mengi, ambaye hakuwahi kupendwa sana na watanzania wengi. Lakini ni mchezaji ambaye tunamwona akizidi kuimalika kwa kiwango kikubwa sana kadri siku zinavyoenda
John Bocco... Na akiwa na mafanikio mazuri katika mechi za kimataifa kucheza kwa utulivu na kujiamini hata kuweza ku assist kwenye mechi nyingi za simba kimataifa na hata jana Taifa Stars na kuibuka Man of the match.
View attachment 1053474
Ni mtazamo wako ww na jicho lako kwenye mpiraKwani assist 2 tayari Kawa mchezaji mzuri..!?? Hilo ni gharasa tu hamna kitu hapo.
MGC
Kwani assist 2 tayari Kawa mchezaji mzuri..!?? Hilo ni gharasa tu hamna kitu hapo.
MGC
huyu kibabu tayari...