Huyu mchezaji mpya wa Simba anakuaje na Miaka 22?

Huyu mchezaji mpya wa Simba anakuaje na Miaka 22?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Mimi na kamati yangu tumegoma, huyu mstaafu anakuaje na miaka 22? Yaani huyu eti nikikutana nae aniamkie? Big NO

D9A0BD2C-05CA-4740-99AA-5E6444A2A894.jpeg

28A08371-4B62-44AD-A2B4-B7677B813302.jpeg
 
Ndio maisha ya mpira sheikh, wachezaji wa kiafrika wanakuwa na vyeti vya kuzaliwa ata vitatu tofauti anaangalia tu wapi atumie hiki aache kipi

Mbona hukuleta Uzi wa kukataa umri wa Tuisila Kisinda miaka 21 na kaka yake Mukoko miaka 25, legend wetu ngasa hadi leo hii ana miaka 32, muache mtoto wa watu Sheikh
 
Ila hapo kwenye 21 tulipigwa sana, jitu lina hadi kutu eti miaka 21 [emoji23]
 
Endeleeni kukomaa na umri wenzenu tunahitaji wachezaji sahihi kwa muda sahihi ili tupate kilicho sahihi kutoka kwao!! Ingekuwa masuala ya umri ni tatizo basi ntibazonkiza asingekuwepo yanga kabisaaa maana ndo baba lao kwa wachezaji wote wa NBC premier.....
 
Ndio maisha ya mpira sheikh, wachezaji wa kiafrika wanakuwa na vyeti vya kuzaliwa ata vitatu tofauti anaangalia tu wapi atumie hiki aache kipi

Mbona hukuleta Uzi wa kukataa umri wa Tuisila Kisinda miaka 21 na kaka yake Mukoko miaka 25, legend wetu ngasa hadi leo hii ana miaka 32, muache mtoto wa watu Sheikh
Daaaah mkuu wwee mgomvi mpaka kiduk wa yang umemzungumzia
 
Hahaha, alichokuwa anafanya yeye ni kunyoa tu ndevu Kila siku hadi makovu ya ndevu yakawa yanaonekana, akaona isiwe tabu haya mabaka dawa yake mkorogo Tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We mcheki kati ya mwisho wa pua na shavu kuna mstari mbonyeo.uo mstari mbonyeo uwa unatokea kuanzia fote na ushee.
sometimes tunadanganya tu kwenye kupunguza umri lakini inafika wakati mwili unakataa,mtu kama Bocco mwili ushakataa na hawezi kurudi kwenye prime yake
 
Kama kazaliwa 1999 c ama miaka 32 mtoa mada au? mimi hesabu nilikimbia form two😃
 
Back
Top Bottom