Huyu mchezaji mpya wa Simba anakuaje na Miaka 22?

Huyu mchezaji mpya wa Simba anakuaje na Miaka 22?

Fundi

Screenshot_20220101-210720.png
 
Endeleeni kukomaa na umri wenzenu tunahitaji wachezaji sahihi kwa muda sahihi ili tupate kilicho sahihi kutoka kwao!! Ingekuwa masuala ya umri ni tatizo basi ntibazonkiza asingekuwepo yanga kabisaaa maana ndo baba lao kwa wachezaji wote wa NBC premier.....
Wachezaji sahihi hawa wa kuwafanyia majaribio.
Screenshot_20220106-192929_Instagram.jpg
 
Ndio maisha ya mpira sheikh, wachezaji wa kiafrika wanakuwa na vyeti vya kuzaliwa ata vitatu tofauti anaangalia tu wapi atumie hiki aache kipi

Mbona hukuleta Uzi wa kukataa umri wa Tuisila Kisinda miaka 21 na kaka yake Mukoko miaka 25, legend wetu ngasa hadi leo hii ana miaka 32, muache mtoto wa watu Sheikh
Na uzi ufungwe[emoji23]
 
Huyo mchezaji yuko zaidi ya miaka 35, sijui waafrika wanapata faida gani kudanganya umri. Mambo yote mabaya ni Afrika. Very disgusting indeed,
 
Semeni yoote, huyo ni Babu.
Na sijui kama anajipya.

Makholo jamani asainishwe haraka sana
Huo ndio umri wa kucheza mpira.

Huyu mnayemnadi hapa sioni tofauti yake na Serunkuma au Mbiavanga.
Bora hata ya Sapong.
 
Endeleeni kukomaa na umri wenzenu tunahitaji wachezaji sahihi kwa muda sahihi ili tupate kilicho sahihi kutoka kwao!! Ingekuwa masuala ya umri ni tatizo basi ntibazonkiza asingekuwepo yanga kabisaaa maana ndo baba lao kwa wachezaji wote wa NBC premier.....
Umemsahau Nyoni
 
Back
Top Bottom