Huyu mchezaji mpya wa Simba anakuaje na Miaka 22?

Wachezaji sahihi hawa wa kuwafanyia majaribio.
 
Na uzi ufungwe[emoji23]
 
Huyo mchezaji yuko zaidi ya miaka 35, sijui waafrika wanapata faida gani kudanganya umri. Mambo yote mabaya ni Afrika. Very disgusting indeed,
 
Semeni yoote, huyo ni Babu.
Na sijui kama anajipya.

Makholo jamani asainishwe haraka sana
Huo ndio umri wa kucheza mpira.

Huyu mnayemnadi hapa sioni tofauti yake na Serunkuma au Mbiavanga.
Bora hata ya Sapong.
 
Umemsahau Nyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…