Huyu mchezaji mpya wa Simba anakuaje na Miaka 22?

Juma Kaseja naskia ana 24
 
Sasa huyu akiwa na aka 22 basi Banda 16[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haahaahaaaa mkuu kweli ulikuwa hupatani na mwalimu wa hesabu...
Sio mimi hata huyu mchezaji alikimbia hesabu haiwezekani akawa na 22 ana 32 huyu unles na macho nayo yamepishana naona anakaribia kulingana na matola huyu😀😀😀😀
 
Ngasa ni sawa kabisa Mimi nikiwa darasa LA saba ngasa alikuwa darasa LA pili na nina 37,na wakati huo alikuwa anacheza team ya shule kama beki kwa sababu alikuwa mdogo sana hila mjanja sana
 
Mimi nampa dedication ya ile ngoma ya alikiba ft patoranking inaitwa bwana mdogo[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ifikie hatua akubali tu kuwa hapo wamepigwa na kitu kizito.
Ushawahi kuangalia elastic heart ya sia?

Kuna huyu mwamba hapa, unamkadiria kua na miaka mingapi?

 
Mnanishawishi vipi mpaka niamini kwamba

Huyu


Kamzidi umri huyu

 
Hivi Ngasa bado anacheza mpira?



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi hakuna kitu cha kupima umrii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…