Huyu mchezaji toka Serbia tumepigwa

Huyu mchezaji toka Serbia tumepigwa

Mikia kuweni watulivu, binafsi nimeona anamovement nzuri hasa viungo wakiweza kuwa wanamtengenezea nafasi.........Kumuona leo tu na mtu hajafanya mazoezi na timu kama mpenzi wa mpira nampa mechi 3 za kucheza angalau dk 35

NB:Akifail mtamkumbuka MK14
 
Mk 14 ni bora mara mia kuliko huyo mburushi
 
Huyo ni muhindi ndugu yake Mudy, mbumbumbu wamedanganywa na Barbra kuwa mzungu nao kwa umbumbumbu wao bila kuchanganya na akili zao wakajaa, [emoji2][emoji2][emoji2] Barbra noma sana.
 
Nimeangalia mchezo kati ya Simba na St George, kiwango kilichoonyeshwa na mchezaji Dejan toka Serbia ni cha kawaida sana, ni bora mara mia ya Kagere au Mugalu. Kwa kweli hapa tumeuziwa rangi sio mchezaji.
Siyo kila mzungu ni mchezaji wa mpira, wengine ni waimbaji wa rege.
 
DEJAN wetu yuko sanaa, na atakiwasha mwanzo mwenga.
Tupo nayeee.
 
Ulishawahi kumuona wapi mkuu...acha ushamba mpira hauko hivyo mzee
 
Serunkuma is back in white colour
1659772209139.jpg
 
Kwa fraga mliongea hivyo hivyo na akawapiga 4 kwa [emoji83]
 
Back
Top Bottom