chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Nisije nikatia neno nikakufuru.
Muwe mnaangalia na makanisa ya kwenda.
Muwe mnaangalia na makanisa ya kwenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muandalie kabisaaKuna kitu anataka,mwambieni atakipata
Huyu Pastor likua anauza mkorogo wakati flaniMwanamke kujiamini uzuri wa mtu sio vipodozi....yeye sura yake mbaya hivyo analazimisha uzuri kwa vijipodozi.. mfyuuu shame on her
Kabisa.Wengi mmetoa mapovu nadhani kwasababu hamna hel au ndio hao walimu wa shule ya msingi.
Huyo mchungaji lengo lake ni kuwajulisha mabinti wakae katika mvuto wa kupendeza na kumvutia mwanaume ili wapate waume..sio wakae kishambashamba.
#MaendeleoHayanaChama
Njooni niwauzie peruvian mchungaji wa mchongo asiwasimange looh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijapendaaaaa
Kwanini atuseme sisi tunaochana nywele?
Bagia njoo tuambizane hapa tunapata wapi vi peruvian hata vya mchongo Carleen
Nikijiangalia kwa huu mwaka lipstick nilipaka tu mara moja sababu ya sherehe sina hamu na huyo mchungaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shost Lenie najua hujatinda nyusi [emoji1787][emoji1787]
Haya kesho chap chap [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa..!Sijapendaaaaa
Kwanini atuseme sisi tunaochana nywele?
Bagia njoo tuambizane hapa tunapata wapi vi peruvian hata vya mchongo Carleen
Nikijiangalia kwa huu mwaka lipstick nilipaka tu mara moja sababu ya sherehe sina hamu na huyo mchungaji 🤣🤣🤣🤣
Shost Lenie najua hujatinda nyusi 🤣🤣
Haya kesho chap chap 😂😂😂
Nashangaa anawasema short hair wakati ndio naona tunatoka very smart hamna mambo za kunuka mawigi na kujipiga paa paaaa mbele za umati au sio DepalHahaaa..!
Kiutamu changu pole sana kwa maumivu, ila twende mbele turudi nyuma, ama acha twende tu mbele, siye 'vinyole' vyetu tunachana ila trust me vina mvuto uliotukuka, nilikuwa nafuta maji kichwani natoka kuoga jioni hii najitazama kwa kioo najiambia hivi Mimi Carleen nitarudi kusuka tena kweli?? Vile ilivyo raha kukaa chini ya bomba la maji baridi.??
Siyo sasa akiii'...!
Bora wewe, Mimi lipstick siwi comfortable jamani, lip balm inanitosha na kimdomo kinabaki sexy..!
Lenie nilitinda nyusi juzi ile na kitana tu ila huwezi amini nikawa najicheka..!
Nimeona video ya huyu dada ambaye anaonekana kuwa ni mchungaji akiwa anahubiri kanisani. Jambo lililonisikitisha ni kitendo cha kudharau taaluma ya ualimu hasa walimu wa kike wa shule za Msingi.
Kiongozi ni kioo cha jamii hivyo inatarajiwa kuwa maneno unayoyatoa yatakuwa ya kujenga na si kubomoa au kudhalilisha. Ajabu ni kuwa mchungaji huyo ambaye amesahau kabisa fadhila ya elimu aliyopewa na walimu hadi leo anaweza kusimama na kuhutubia watu malipo yake anatolea mfano usiofaa.
Dada huyo kaenda mbali zaidi kumdhalilisha muumini kwa kutaka kumpaka lipstick kanisani akiamini wanaofanya hivyo ndio huolewa. Hajui muumini huyo kama kaolewa au la. Hizi style za mahubiri zinakoelekea sio kwema kabisa. Imagine mme wa yule dada aliyedhalilishwa angekuwa pale church au yule dada angeamua kutoa unyonge si angemchapa ngumi na kusepa zake.
Tuwe tunachagua maneno ya kuhubiri na sio kuwadhalilisha watu wengine.
Natarajia TUCTA na CWT hata viongozi wa serikali watakemea tabia hii
View attachment 2244659

Wengi mmetoa mapovu nadhani kwasababu hamna hela au ndio hao walimu wa shule ya msingi.
Huyo mchungaji lengo lake ni kuwajulisha mabinti wakae katika mvuto wa kupendeza na kumvutia mwanaume ili wapate waume.. sio wakae kishambashamba.
#MaendeleoHayanaChama