Huyu mchungaji anayedharau walimu na kudhalilisha waumini akemewe

Kabisa.

Ila wananchi wamepanic balaa.....
 
Kifupi huyo bwege tu wa mjini
Injili yake sio kama ya Kristo inayowafaa watu wa vijijini ambako watu hawajui saloon wala duka la vipodozi halipo na hawajui lipstick ni kitu gani hiyo injili

Pamoja na tofauti zetu za kimadhehebu hicho anachohubiri hakikubariki kanisa katoliki, Lutheran, Anglican wala pentecoste
Huyo amevamia kanisani kama mchungaji
 
KWA TAARIFA YAKO, HAKUNA MCHUNGAJI MWANAMKE BORA TANZANIA KAMA HUYU.
 
Njooni niwauzie peruvian mchungaji wa mchongo asiwasimange looh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hahaaa..!
Kiutamu changu pole sana kwa maumivu, ila twende mbele turudi nyuma, ama acha twende tu mbele, siye 'vinyole' vyetu tunachana ila trust me vina mvuto uliotukuka, nilikuwa nafuta maji kichwani natoka kuoga jioni hii najitazama kwa kioo najiambia hivi Mimi Carleen nitarudi kusuka tena kweli?? Vile ilivyo raha kukaa chini ya bomba la maji baridi.??
Siyo sasa akiii'...!

Bora wewe, Mimi lipstick siwi comfortable jamani, lip balm inanitosha na kimdomo kinabaki sexy..!

Lenie nilitinda nyusi juzi ile na kitana tu ila huwezi amini nikawa najicheka..!
 
Aliyoyafundisha ni kinyume na mafundisho ya UKRISTO
 
Kilichonisikitisha ni waumini wengine kushangilia huo udhalilishaji
 
Afadhali hata huyo!! Kuna huyu huku sasa....Mambo hadharani.
 

Attachments

  • FB_IMG_1653957764782.jpg
    39.7 KB · Views: 11
Nashangaa anawasema short hair wakati ndio naona tunatoka very smart hamna mambo za kunuka mawigi na kujipiga paa paaaa mbele za umati au sio Depal

Hahaaa ile ya kutinda kwa kitana kuna namna fulani inakaa lazima ichekeshe unless una nyusi laini na chache.
 

Biblia inasema siki za mwisho mtalitafuta neno hamtalipata. Maana yake ni kwamba watu hawatahubiri neno bali Mambo yao tu. Navyoamini kuvaa ni personal choice au kujitinda nyusi lipstic ni personal choice.
 

Shida ya huyu dada huwa hachagui Cha kuongea. Kuna kipindi alikuja kanisani Mwanza alisema akadai mumewe ni handsome kiasi kwamba kila mwanamke anatamani awe naye.
 
Ukifuatulia utagundua shetani anawatumia sana wahubiri kama hawa kutekeleza lengo lake la kuua na kuangamiza.

Wanaua familia, wanajenga sintofahamu baina ya wanandoa, wanaongeza umalaya, wanawawashia tamaa ya mali na utajiri hata kama ni haramu vijana wa kike na kiume kuliko kutangaza heshima ya kazi na utu.

Ni manabii wa ibilisi na ni wauaji wa roho kwa maneno yao. Hawa ni wa kuogopwa kuliko wauuao mwili.
 

Hakuna kitu Kama hicho. Kanisani wanafundishwa kupaka lipstick?. Tena unampakia kanisani?. Kesho atawafundisha style za kitandani kanisani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…