Yeah wanawake hawana hurumakakuonea tu huruma, kwanini wakaka mkionyeshwa wema kidogo mnahisi ni mapenzi..? ama mnadhani wanawake hawana mioyo yenye huruma na upendo pia..?
Ukimjumuisha na mzazi wako wa kike pia..?Yeah wanawake hawana huruma
Kwanini wadada mkionyeshwa kusaidiwa na mwanaume, kwa asilimia fulani zawadi pekee ni penzi?kakuonea tu huruma, kwanini wakaka mkionyeshwa wema kidogo mnahisi ni mapenzi..? ama mnadhani wanawake hawana mioyo yenye huruma na upendo pia..?
Una miaka mingapiUlivaaje? muonekano wako?
Sio wote tupo hivyo mkaka kama mimi nina adabu na muelewakakuonea tu huruma, kwanini wakaka mkionyeshwa wema kidogo mnahisi ni mapenzi..? ama mnadhani wanawake hawana mioyo yenye huruma na upendo pia..?