Huyu mdada kanipenda au ananionea huruma tu?

Huyu mdada kanipenda au ananionea huruma tu?

Kati ya hivyo vyote chips, vitumbua, maji...CHA MAANA ULICHO NACHO HAPO NI "MAJI"

hv ile tabia ya watu wa njombe kula ndizi mbivu na soda mkiwa safarini ilisha koma?
Nawewe tena na njombe yangu whhhhyyyyy😢😢😢😢
 
kakuonea tu huruma, kwanini wakaka mkionyeshwa wema kidogo mnahisi ni mapenzi..? ama mnadhani wanawake hawana mioyo yenye huruma na upendo pia..?
Umefufukia huku tena au nimekosea njia?😉🏃

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
unaona umerudi kule kule kwa mtoa mada, furaha yangu ipo haijaenda pahala na imejaa tele mpaka inamiminika, ni rafiki tu ndiyo maana haniumizi kichwa..!!.
usione fursa IB..??
Hujanielewa,mimi sijamaanisha kama mleta mada,nimemaanisha kua kama alivykua huyo "Rafiki tu" umenielewa vingine kabisa na kusudio langu.
 
Back
Top Bottom