Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,621
- 29,671
😂😂😂🙌Juzi nilikuwa kwenye hafla fulani kuna bidada alinichangamkia sana muda wa bufee, akanichukulia chakula nikaishia kumshukuru tu, alikuwa na mwamba fulani nikaona nisijejichanganya nikaishia kupostiwa na mishumaa kama Intelligent businessman
ni bora hukujichanganya maana wabongo wengi kitu cha kwanza kwenye akili yao ni ngono..! wanaiwaza muda wote wanaweza damka nayo hata alfajiri kuipa kipaumbele...!!