official scandal
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 401
- 865
Braza wapo watu wema tu wanasaidia bila kuwaza chochote. Piga hiyo Chips Kuku
Jambo gani?Kabla hujamtukana! Nakutafuta kuna jambo unisaidie
😄 Njombe ikilinganishwa na Katavi huenda tukasema Njombe ina mahendsam.. ila kitaifa haijawahi tajwa kabisa katika hilo suala.Hapo aya ya 1. Ina maana njombe hakuna mahendisam
😂 😂
Wewe ni wa mazingira magumu/vulnerable being na umeorodheshwa kwenye TASAF phase III.Subiri utapatiwa na baiskeli.Niko safarini kutoka njombe kuja Dar,nimekosa seat,nimekalishwa pale mbele kwa dereva,sasa kuna sehemu tumefika ya kula chakula,mimi nikaona ninunue tu vitumbua vyangu viwili vya jero nijilie na maji,
Kuna mdada mmoja pisi kali nimeona kaniangalia kwa huzuni kisha akashuka chini akaja na chipsi kuku akanipa,hapa nilipo bado nawaza kanipenda au kanionea huruma tu?
Kwa waziri mkuu kumefungwa. Ni Dili ya pesaJambo gani?
Amemuonea huruma tu baada ya kuona anakula vitumbuaPokea vyakula ovyo utakuja kujuta siku moja ukiwekewa dawa inaamka mambo yashaharibika.
Unakuta unajilaumu hapo nyuma hukuwa hivyo ....
Kwanini asikuite mkafuate wote vyakula au akupe pesa ufuate mwenyewe?
Shangaa na wewe Mkuu, yaani mtu asisaidiwe ishakuwa nongwa khaaaYani Mwanamke wa karne hii ampende Mwanaume anayefakamia vitumbua viwili na maji safarini?
Hayo mawazo yahamishie katika kutafuta hela Mkuu.
Mbinu zotee za kivita unazo mchuchuTutakua hatuwasaidii, nyie ndo mkitoka out na mdada mnanyoa mavuzi na kubeba condom..!! PUMBAVU
Jirani nisaidie mimi tu,Tutakua hatuwasaidii, nyie ndo mkitoka out na mdada mnanyoa mavuzi na kubeba condom..!! PUMBAVU
Juzi nilikuwa kwenye hafla fulani kuna bidada alinichangamkia sana muda wa bufee, akanichukulia chakula nikaishia kumshukuru tu, alikuwa na mwamba fulani nikaona nisijejichanganya nikaishia kupostiwa na mishumaa kama Intelligent businessmankakuonea tu huruma, kwanini wakaka mkionyeshwa wema kidogo mnahisi ni mapenzi..? ama mnadhani wanawake hawana mioyo yenye huruma na upendo pia..?
Uta pasukaJuzi nilikuwa kwenye hafla fulani kuna bidada alinichangamkia sana muda wa bufee, akanichukulia chakula nikaishia kumshukuru tu, alikuwa na mwamba fulani nikaona nisijejichanganya nikaishia kupostiwa na mishumaa kama Intelligent businessman
Nahisi yule mwamba ni bro wake ila sikutaka kujichanganya kabisa.Uta pasuka