Watu man maneno jamani duh😅Kasafari ka Njombe Dar unakula njiani mtoto wa kiume....?una matatizo ya utumbo mpana?
Kakuona MLAFI ni vile kahisi uwezo huna....🙂
Wewe ndio umempa offer?Umefufukia huku tena au nimekosea njia?😉🏃
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Chaliifrancisco Salam zikufikieKakuonea huruma ,pengine hukuwa na hela ya lunch ! Watu wema wapo, ukimaliza kula usisahau japo kumshukuru na kumtamkia yaliyomema
Duh ,au jamaa Alikuwa anakip figureYani Mwanamke wa karne hii ampende Mwanaume anayefakamia vitumbua viwili na maji safarini?
Hayo mawazo yahamishie katika kutafuta hela Mkuu.
Hahahaaaa ametamani figo Yako angalia usiamini watu asije kukurubuni ukaenda na maji shtuka hujapitia hata JKT ukimuamini tu mtu ana ondoka na MJEKI au MAGAZINE utaliaNiko safarini kutoka njombe kuja Dar,nimekosa seat,nimekalishwa pale mbele kwa dereva,sasa kuna sehemu tumefika ya kula chakula,mimi nikaona ninunue tu vitumbua vyangu viwili vya jero nijilie na maji,
Kuna mdada mmoja pisi kali nimeona kaniangalia kwa huzuni kisha akashuka chini akaja na chipsi kuku akanipa,hapa nilipo bado nawaza kanipenda au kanionea huruma tu?
Jamaa anawaza ngono tu unapewa msaada yeye anawaza ngonokakuonea tu huruma, kwanini wakaka mkionyeshwa wema kidogo mnahisi ni mapenzi..? ama mnadhani wanawake hawana mioyo yenye huruma na upendo pia..?
Kabla hujamtukana! Nakutafuta kuna jambo unisaidieTutakua hatuwasaidii, nyie ndo mkitoka out na mdada mnanyoa mavuzi na kubeba condom..!! PUMBAVU
Hili ndilo tatizo la vijana wengi kuwaza kamanyola tu badala ya upendo.Niko safarini kutoka njombe kuja Dar,nimekosa seat,nimekalishwa pale mbele kwa dereva,sasa kuna sehemu tumefika ya kula chakula,mimi nikaona ninunue tu vitumbua vyangu viwili vya jero nijilie na maji,
Kuna mdada mmoja pisi kali nimeona kaniangalia kwa huzuni kisha akashuka chini akaja na chipsi kuku akanipa,hapa nilipo bado nawaza kanipenda au kanionea huruma tu?
Hivi una miaka kumi na ngapi dogo, yaani kuonewa huruma tu wewe unawaza mapinduzi?Niko safarini kutoka njombe kuja Dar,nimekosa seat,nimekalishwa pale mbele kwa dereva,sasa kuna sehemu tumefika ya kula chakula,mimi nikaona ninunue tu vitumbua vyangu viwili vya jero nijilie na maji,
Kuna mdada mmoja pisi kali nimeona kaniangalia kwa huzuni kisha akashuka chini akaja na chipsi kuku akanipa,hapa nilipo bado nawaza kanipenda au kanionea huruma tu?
Unakutana nao wewe ila sisi malaika tunakutana na shetani kwa sura,mwili na roho yani iwe jua,mvua ni kimetulamba!Sijui hii mifano mnatoa wapi ndugu zangu wanaume wa Kitanzania, ila nimekutana na wadada wengi wenye roho zao nzuri tu kwa watu wasiowajua, tena wengine wananifanya mpaka nizidi kujifunza kuendelea kuwa mwema kupitia wao..!!
kakuonea tu huruma, kwanini wakaka mkionyeshwa wema kidogo mnahisi ni mapenzi..? ama mnadhani wanawake hawana mioyo yenye huruma na upendo pia..?
You are a very ungrateful human being. Hapo Mungu kaamua kumtumia huyo binti kukupa chakula halafu unaanza kuwaza upuuzi. Na kama unatokea Njombe uwezekano wa wewe kuwa hata handsome au mwonekano wa kuvutia binti ni mdogo sana kwa hiyo suala la kukutaka kimapenzi halipo.
Mwaka 2004 naenda form 5 pale Mkwawa nilikutana na hali kama hiyo yako ila mimi nilimshukuru Mungu na kuchukulia kama muujiza. Nikiwa kwenye basi la Hood from Arusha mfukoni nina Tsh 1,000/= tu kama pocket money. Nilikuwa nawaza kinoma itakuwaje hii buku ndo ya kula njiani hapohapo pocket money shule??
Binti aliyekuwa pembeni yangu hatukusemeshana kabisa. Pale Chalinze akanunua chungwa na kunigawia. Nikashukuru. Morogoro pia kuna kitu alinunua akanigawia. Ilula akaninunulia chips. Tulipofika Iringa tukaagana na ndo ikawa mara ya kwanza na ya mwisho kuonana. Wote hatukuwa na siku wakati huo.
Bahati nzuri nilipofika shuleni kwa mhasibu nikajulishwa kuwa kuna michango kwenye joining instructions shule iliamua kuifuta. Nikapata muujiza mwingine wa kurudishiwa Tsh 17,000/=.