Huyu mdada kanipenda au ananionea huruma tu?

kakuonea tu huruma, kwanini wakaka mkionyeshwa wema kidogo mnahisi ni mapenzi..? ama mnadhani wanawake hawana mioyo yenye huruma na upendo pia..?
NInakunywa uji wa chumvi hapa...hebu nihurumie basi jmn🙏
 
Niko safarini kutoka njombe kuja Dar,nimekosa seat,nimekalishwa pale mbele kwa dereva,sasa kuna sehemu tumefika ya kula chakula,mimi nikaona ninunue tu vitumbua vyangu viwili vya jero nijilie na maji,

Kuna mdada mmoja pisi kali nimeona kaniangalia kwa huzuni kisha akashuka chini akaja na chipsi kuku akanipa,hapa nilipo bado nawaza kanipenda au kanionea huruma tu?
Wanaanziaga hapo.
 
Hiyo ipo sana tuuh hata sioni ajabu hapo,

Japo wengi wanakubeza utadhani wametoka royal family!!!
 
Niko safarini kutoka njombe kuja Dar,nimekosa seat,nimekalishwa pale mbele kwa dereva,sasa kuna sehemu tumefika ya kula chakula,mimi nikaona ninunue tu vitumbua vyangu viwili vya jero nijilie na maji,

Kuna mdada mmoja pisi kali nimeona kaniangalia kwa huzuni kisha akashuka chini akaja na chipsi kuku akanipa,hapa nilipo bado nawaza kanipenda au kanionea huruma tu?
Kakuonea huruma
 
1.Kukosa seat na kukalishwa seat bench ya mbele.
2.Kununua vitumbua vya jero.
3.Kuangaliwa kwa huzuni.
Zote hizo ni dalili za kutia huruma, so umehurumiwa.... shukuru Mungu.
Huyo dada, ni msamalia mwema,alijua unapitia wakati mgumu.. wala c vingine.
 
kakuonea tu huruma, kwanini wakaka mkionyeshwa wema kidogo mnahisi ni mapenzi..? ama mnadhani wanawake hawana mioyo yenye huruma na upendo pia..?
Hii iliwah nitokea,nilirukwa na akili nikapelekwa redio jamii kutangazwa,ile redio ilikuwa ina share jengo na bank

Nikiwa pale nje alitokea dada mmoja mzuri balaa nikawa namtazama kwa kuibia maana mimi hapa duniani magari na wanawake huwa nafurahia sana kuwatazama

Sijui yule demu alifikiria nini akaniagizia chakula(nilikuwa na siku 2 sijala),baadae maza alifika akanichukua,kumbe yule demu huwa anamuona sana mama kwenye hyo bank yao

Baada ya siku kama mbili alikuja nisalimia home ila alikuja na sharobaro mmoja ambae alikuwa mtangazaj na alinialika mpaka kwao nilienda na nikapigwa maombi ya kutosha na kaka ake ambae nae alikuwa amekuja likizo tu alikuwa mjeda ndo nilishangaa kuona mjeda mlokole

Baadae demu alienda kusoma tukawa tumepotezana hvyo ila sikuwah mtongoza
 
Niko safarini kutoka njombe kuja Dar,nimekosa seat,nimekalishwa pale mbele kwa dereva,sasa kuna sehemu tumefika ya kula chakula,mimi nikaona ninunue tu vitumbua vyangu viwili vya jero nijilie na maji,

Kuna mdada mmoja pisi kali nimeona kaniangalia kwa huzuni kisha akashuka chini akaja na chipsi kuku akanipa,hapa nilipo bado nawaza kanipenda au kanionea huruma t

Hata baadhi ya wadada pia nadhani wako na hii mentality, hii ni experience niliipata kwenye zile gari wanaita hakuna kulala.
Unasoma darasa la ngapi
 
Hii iliwah nitokea,nilirukwa na akili nikapelekwa redio jamii kutangazwa,ile redio ilikuwa ina share jengo na bank

Nikiwa pale nje alitokea dada mmoja mzuri balaa nikawa namtazama kwa kuibia maana mimi hapa duniani magari na wanawake huwa nafurahia sana kuwatazama

Sijui yule demu alifikiria nini akaniagizia chakula(nilikuwa na siku 2 sijala),baadae maza alifika akanichukua,kumbe yule demu huwa anamuona sana mama kwenye hyo bank yao

Baada ya siku kama mbili alikuja nisalimia home ila alikuja na sharobaro mmoja ambae alikuwa mtangazaj na alinialika mpaka kwao nilienda na nikapigwa maombi ya kutosha na kaka ake ambae nae alikuwa amekuja likizo tu alikuwa mjeda ndo nilishangaa kuona mjeda mlokole

Baadae demu alienda kusoma tukawa tumepotezana hvyo ila sikuwah mtongoza
Pole sana kwa matatizo,
watu wema bado wapo ndugu yangu, na huwa hawaachi kubarikiwa hata siku moja, usiache kumuombea mema kila ukimkumbuka..
 
Back
Top Bottom