Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,360
Tunatofautiana mitazamo kwangu Mimi na wewe chipsi ni kama kapile tu ila Kuna watu wanaitambua chipsi kama mlo kamili.CHAI
anyway, hivi chipsi ni chakula!
Tunatofautiana mitazamo kwangu Mimi na wewe chipsi ni kama kapile tu ila Kuna watu wanaitambua chipsi kama mlo kamili.CHAI
anyway, hivi chipsi ni chakula!
Haha,Hujanielewa,mimi sijamaanisha kama mleta mada,nimemaanisha kua kama alivykua huyo "Rafiki tu" umenielewa vingine kabisa na kusudio langu.
Hapana,hizo ni Misunderstand za kawaida tu katika mawasiliano na kutafsiri hoja.Haha,
kwahiyo nimejipakulia minyama..?
huwezi amini ni mwana tu,Napenda umbeya kuliko kula, nidokeze kdg tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika kakupenda😂😂🙌Shati la kitenge na suruali ya kitambaa
Otea jibu lipi litalonipendeza sana ila litakuchukiza kwa ukimya mwingi baina yako na yangu Mwananchi...🙎kaka wa Chelsea, habari yako...
Nime cheka kishenzi 🤣Kaa kiaskari usije ukauzwa Mkuu
Ona sasa, picha linaanza ulipokosa seat ukaamua ukae kwa dereva means ulikaa chini. Wenzio wakikosa seat wanatafuta bus lingine au wanaghairisha safariShati la kitenge na suruali ya kitambaa
Hebu fanya umuulize mhusika, si bado mko kwenye Basi pamoja?Niko safarini kutoka njombe kuja Dar,nimekosa seat,nimekalishwa pale mbele kwa dereva,sasa kuna sehemu tumefika ya kula chakula,mimi nikaona ninunue tu vitumbua vyangu viwili vya jero nijilie na maji,
Kuna mdada mmoja pisi kali nimeona kaniangalia kwa huzuni kisha akashuka chini akaja na chipsi kuku akanipa,hapa nilipo bado nawaza kanipenda au kanionea huruma tu?
Una nyota ya mishangazzzNiko safarini kutoka njombe kuja Dar,nimekosa seat,nimekalishwa pale mbele kwa dereva,sasa kuna sehemu tumefika ya kula chakula,mimi nikaona ninunue tu vitumbua vyangu viwili vya jero nijilie na maji,
Kuna mdada mmoja pisi kali nimeona kaniangalia kwa huzuni kisha akashuka chini akaja na chipsi kuku akanipa,hapa nilipo bado nawaza kanipenda au kanionea huruma tu?
Bro una tumia silaha za kivita kwenye kikao Cha familia 😂 😂Yani Mwanamke wa karne hii ampende Mwanaume anayefakamia vitumbua viwili na maji safarini?
Hayo mawazo yahamishie katika kutafuta hela Mkuu.
Hiyo kawaida sana.huwezi amini ni mwana tu,
We huwa hugombani na rafiki zako..?
Raisi wa ma jobless pro max niko hapaDah nimefarijika kutambua kumbe JF sio.mimi.peke yangu maskini,
😅😅Mkuu Oktoba tuna tick ✔️✔️✔️Ni kawaida kila niki-comment hapa JF lazima atokee mwendawazimu kunikejeli. Hongera sana kuwa wa kwanza kwa siku ya leo.
Kuna muda inabidi tutumie silaha kali ili hawa vijana wetu watoke usingizini,Bro una tumia silaha za kivita kwenye kikao Cha familia 😂 😂
We Jamaa, yaani ana enda kwenye msiba na yeye mwenyewe ni msiba 😆 😂Halafu unakuta safari yenyewe alikua anaenda kwenye msiba!