Usimuwazie negative, pengine anataka kusimamia uwajibikaji ktk ufundishaji na ujifunzaji kamili kwa wanafunzi wakiwa shuleni, jambo ambapo ni sahihi.
Hatua hiyo itawawezesha wanafunzi wenzake kujifunza mambo mengine ya kimaisha ya kujitegemea wakiwa maeneo ya nyumbani, hivyo kutokuwa wategemezi ktk maisha ya baadae. mpe bigup!