Huyu mdogo wangu anafaa kuwa kiongozi?

Huyu mdogo wangu anafaa kuwa kiongozi?

Bella Ciao

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Posts
1,804
Reaction score
4,461
Habari wakuu?

Nina mdogo wangu anaogombea uongozi shule anayosoma.

Kilichonishangaza amewaambia wanafunzi wenzake "If i get elected all students will get less home-works"

NB: Politicians are not born, they are made

"who lies best, wins."
 
Kumbe uzuzuu tunajifunzia zamani sanaa, ana possibility kubwa yakupata sababu sisi tunapenda sana uzuzuu kuliko mantiki. Wenzake watafurahi na watamnote kwamba atawapunguzia homework ila all in all je yuko kwenye position yakuweza kupunguza hizo homework? Na ata akipunguza je inamsaada gani kwa wenzie?
 
Usimuwazie negative, pengine anataka kusimamia uwajibikaji ktk ufundishaji na ujifunzaji kamili kwa wanafunzi wakiwa shuleni, jambo ambapo ni sahihi.

Hatua hiyo itawawezesha wanafunzi wenzake kujifunza mambo mengine ya kimaisha ya kujitegemea wakiwa maeneo ya nyumbani, hivyo kutokuwa wategemezi ktk maisha ya baadae. mpe bigup!
 
Back
Top Bottom