Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Sijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 Madogo wanazingua sana, huo uandishi unakera kichizi yaniSijaielewa hii message, waalimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
View attachment 3009869
Wazazi wanaingiaje hapo, kwani wao ndo wamemfundish kuandika??Walaumu wazazi wako kwa malezi ya hovyo.
Munahusika kwa 200%Walimu tuna taabu hii nchi🙆🙆🙆
Sasa hapo walimu wanahusikaje? Madaftari yake umekagua ukakuta kaandika huo upuuzi?
Ujinga wa mdogo wako na uzito wake wa kuelewa ndo unatudharau walimuSijaielewa hii message, waalimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
View attachment 3009869
Haya.Munahusika kwa 200%
Nikiwa darasa la 3 mwalimu wa Kiswahili alitufundisha kuandika na kuongea vizuri.
Sasa hivi mpaka walimu wenyewe kuongea vizuri hawajui
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 AiseeWalimu tuna taabu hii nchi🙆🙆🙆
Sasa hapo walimu wanahusikaje? Madaftari yake umekagua ukakuta kaandika huo upuuzi?
Upuuzi itakuwa kajifunzia kwa kaka yake ndio maana ana guts za kumuandikia yeye hivyo, mbona sisi hawatuandikii hivyo!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee
Ungeuliza pia na hao wengine wanaopata one na kuandika vizuri wanafundishwa nini na walimuSijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
View attachment 3009869