Huyu mdogo wangu yupo form four, oneni anavyoandika

Huyu mdogo wangu yupo form four, oneni anavyoandika

Upuuzi itakuwa kajifunzia kwa kaka yake ndio maana ana guts za kumuandikia yeye hivyo, mbona sisi hawatuandikii hivyo!!
Tumeshachoka kuamua ugomvi JF juzi kuna mmoja kamtia mwenzake vidole sehemu mbaya sana we imagine anamuingiza mwenzake kidole jichoni
 
Mwambie hizo meseji za kiswahili cha mtaani huzitaki na wala hujaelewa...
Hivyo aandike kwa Kiingereza ndio utamuelewa tofauti na hapo ajue hujaelewa chochote!
hapo ni kutaka kumpima pia uelewa wake

Mimi nikipata meseji ya kihivyo huwa najibu tu; sijaelewa, ukiwa tayari kutuma ujumbe wa kueleweka utanijulisha. Huwa hawarudii tena kutuma meseji za kipuuzi
 
Kizazi cha singeli amapiano hiko

Ova
 
Back
Top Bottom