TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Kila ninapokuwa nikiingia hapa Jukwaani ni lazima nitakutana na Uzi wa huyu jamaa Anayejiita Chief Godlove
Nimekuwa nikilazimika kufungua nyuzi zake kwasababu nimekuwa nikiona mada zake zimekaa Kishambenga hasa kushambulia wanaume ambao yeye Kwa tafsiri yake amekuwa akiwaita "MASIKINI"
Huyu jamaa nimekuwa pia nikimuona huko mitandaoni akipiga picha na Vigari Uchwara huku akiwapa ushauri wajinga wenzie watafute hela wawe kama yeye!,Sijajua ndo huyu jamaa wa huko Mitandaoni au huyu wa hapa JF ameamua Kujiita jina hilo kwakuwa anamkubali huyo jamaa!
MAONI YANGU
Kitu anachokifanya huyo jamaa Chief Godlove ni Ulimbukeni wa Hali ya Juu,nadhani jamaa hakwenda shule kuondoa Ujinga,hata hilo darasa la Saba alilofika ni kama lilimuongezea Ujinga!
Hakuna mtu yeyote mwenye pesa (Tajiri) hapa duniani utamuona huko mitandaoni anatamba,ukiona mtu anatamba huko mitandaoni ameshika pesa anapiga nazo picha au tugari twa kuazima anapiga nazo picha jua kabisa huyo mtu atakuwa na matatizo ya kiakili,ni eidha anatafuta wajinga awapige (awaibie) au anatafuta namna ya Kuwa maarufu!
Kila siku amekuwa akiwashambulia watu humu ndani kwamba hawana Hela na wengi wao ni masikini,swali la kujiuliza,Tangu lini tajiri akashinda mtandaoni tena hapa JF kupambana na masikini?
Wewe Chief Godlove acha ULIMBUKENI wa kijijini kwenu,hapa JF Kuna watu wenye akili kushinda huko FACEBOOK na INSTAGRAM,Huu ujinga wako na Ulimbukeni wako wapelekee wajinga wenzio huko!,Acha kuwadharirisha Wanaume wa JF!
N.B
Binafsi hunizidi pesa,kama unataka mashindano na tutambiane sema,Niko tayari!,maana Sasa dharau zimezidi!