Huyu Member Anayejiita Chief Godlove ni mzima kweli au atakuwa na tatizo?

Mwelezeni huyo mshamba wa jiji yeye ni sisimizi tu, atapotea na kwao wasijue alipo milele, asitukane hovyo watu atulie aendelee kutoa jicho lake la tatu , na kutapeli watu lakilaki zao basi aishi
 
Alisema ana migodi chunya, nikakutana na mabula oneday, namuuliza huyu dogo kwenye circle ya dhahabu yupo, alicheka akasema haka nikatapeli tu kapumbavu huko hakapo, nikamuuliza ntanyinya haka kadogo kapo chimbo, wala hawakukajua so kaelezeni katulie
 
Upambavu ni kuwa kama unaanza kutumia leo mtandao unashindwa kujua mtu tu anatumia jina la uyo Chief Godlove just for fun wewe una catch kukinga na kuanzisha uzi.

Lucking sense of humor is stupidly
 
Upambavu ni kuwa kama unaanza kutumia leo mtandao unashindwa kujua mtu tu anatumia jina la uyo Chief Godlove just for fun wewe una catch kukinga na kuanzisha uzi.

Lucking sense of humor is stupidly
Wewe pia utakuwa na matatizo ya kiakili kama huyo mumeo
 
Yaani hapo ni kuacha kureply mada zake full stop
 
Maandishi yake ni kulaani watu tu humu JF. je ndo mission aliyotumwa kufanya?
 
Alisema ana migodi chunya, nikakutana na mabula oneday, namuuliza huyu dogo kwenye circle ya dhahabu yupo, alicheka akasema haka nikatapeli tu kapumbavu huko hakapo, nikamuuliza ntanyinya haka kadogo kapo chimbo, wala hawakukajua so kaelezeni katulie

Nyumba alnayokaa na kupiga picha ni ya ndugu yake ,amewekwa tu ailinde.
 
Naona mnaongizwa na chuki juu yanhuyo godlove kamili. Huyu wa JF sio yeye ni mkongwe mwenzetu kaamua kupita na upepo wa chief godlove sawa na mi nilivyobadilisha ID yangu na kuja naa hii nikipita na upepo qa muuza madafu wa Ikulu.

So relax bro.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…