Huyu member humu ana maneno sana, ila nje ni domo zege

kutongozwa wala si dhambi mwaya....... kwani lazima ukubali? si unamsikiliza mtu then unamwambia mi siko tayari?????????????????

Wadada fungueni Uzi tuwajue kwamba mnapenda kutongozwa na kila mwanaume unayekutana naye, maana mi naamini wengine hawapendi kutongozwa kwa kuhofia kwamba umemuona ye ni malaya.
 
Eti nafsi yangu inajifanya haijakuelewa eti
 
kutongozwa wala si dhambi mwaya....... kwani lazima ukubali? si unamsikiliza mtu then unamwambia mi siko tayari?????????????????
Acha ushamba wa kisambaa wewe lea wajukuu.
Mtu umesha jikongorokea nani apoteze muda wake na wewe.
Mimi kila nikuonapo najifanya sijakuona nisije kukosa udhu.
Kwendra huko...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni tuhuma zaidi ya escrow
 
Alafu siku hizi haonekani
 
Teh teh teh!!!..
Mkuu hii ni kwel kabisaa naunga mkono hoja.Nimekutan 1 day na ID moja humu matata sana ila mamaaaa !!full kiazi mpaka nikasema duh!! Id hiz jaman ni hatar kabisaa
 
Ha ha ha ha, ,,,sasa kama mmama anakuja na mitabasamu yake kisa kakutambua huku ukimcheki ni sawa na mama yako mdogo unadhani utafanyaje?
Safi gudume bora uonekane boya kuliko kumuimbisha mtu mwenye umri wa mama yako mdogo.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Teh teh teh!!!..
Mkuu hii ni kwel kabisaa naunga mkono hoja.Nimekutan 1 day na ID moja humu matata sana ila mamaaaa !!full kiazi mpaka nikasema duh!! Id hiz jaman ni hatar kabisaa

brotherrrrrr 🀣🀣 em tulia kwanza
 
Nakutahadharisha chezea hao tu, na lau kama umefunga maungo lam niombe japo ....!
Pole.
 
Kwa hiyo reply inaonyesha we ndo mama mshuzaaaaa directly[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Basi endelea kutupa vidonge huenda one day sisi vilaza tutakua smart
watu mnajua unganisha DOTS vibaya asee JF inahitaji akili za ontario lasivyo unaumbuka kweupeeee...

Kila mwenye ID mbili hakika watajulikana woteeee...JF watu wanajua hadi mwandiko huu wa Flani shenzi kbsaa 🀣 🀣 🀣
 
Naona nyota yako na ya GuDume zinaendana.
 
Hahahaaaa....!! Haahaaa...Gudume, kumbe Domo ZEGE...!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
watu mnajua unganisha DOTS vibaya asee JF inahitaji akili za ontario lasivyo unaumbuka kweupeeee...

Kila mwenye ID mbili hakika watajulikana woteeee...JF watu wanajua hadi mwandiko huu wa Flani shenzi kbsaa 🀣 🀣 🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sio ajabu ukakutana na legendary Zero IQ akashindwa hata kutoa salamu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…