Huyu member humu ana maneno sana, ila nje ni domo zege

Huyu member humu ana maneno sana, ila nje ni domo zege

Asalam aleikhum.
Leo tulikuwa na meeting sehemu flani huko posta. Watu walikuwa wengi zsidi ya 50 tukijadiliana mambo mbalimbali.

Mimi nlifika kwa kuchelewa kidogo sababu ya Traffic Jam.baadaye nilipofika sehemu husika pia kutokana na mambo ya usalama nikapoteza dk 5 tena kwenye entrance.

Nmeingia ndani haraka nikaangaza macho nikaona nisipite mbele sababu ya haya maumbo yetu wengine tunanyanyasika kijinsia.

Nikamwona kaka mmoja mtanashati amekaa ametulia sana pembeni yake kiti hakina mtu.nikavutiwa na utulivu wake na kwenda kukaa naye.nlimsalimia akajibu pasipo hata kuntizama.nlikwazika kidogo.

Aliyekuwa anaongea alipomaliza akataka tulioingia late tujitambulishe ...nikasimama nikajitambulisha hapo ndo nikaona huyu kaka sas anaanza kuntizama kwa chati.

Nikimtizama anakwepa...then tena anarudisha macho yake kuntizama.kwa kuibia....baadaye akashika simu na kuingia JF. Hapo ndo nlishtuka.... Jamani leo nmekutana na GuDume kidogo nicheke...nikajizuia.

Nikasema nitamwona kama anaweza hata kuniimbisha maana ni wazi alikuwa ananitizama kwa kuibia.nmekuja msemesha kuhusu agenda kadhaa ana aibu ,hawezi hata nikazia macho...anaongea anatizama chini na pembeni. Gudume ana aibu...khaaaah??? Nmeshangaa... Mpaka tunaagana hajui kama mimi niliyekaa naye pale ni mimi.

Nmechukua namba yake ya simu akibisha tu namtext... Inawezekana siku nikakutana na GENTAMYCINE akaanza kuuma uma vidole... Au Mshana Jr akawa anatafuna kucha kwa aibu ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikuwepo ila hukuniona na ulichelewa utambulisho
 
Mambo ya jf weng wana fake life aiseee Kuna kama wawili hv niliwaona Dom juz ukiwaona wako tofaut saana na tambo zao wako bize sana na story za jf Tena Ni mabest sana
 
Sasa nmegundua kwa nini kuna kaka mmoja huwa anasema wanawake wengi wa jamiiforums ni vilaza... Nisamehe kaka yangu weye nliyekutaka uwaombe radhi. Nakubali wanawake wengi wa humu ni vilaza na vilazwa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Unachezaga vigodoro?
 
Sasa nmegundua kwa nini kuna kaka mmoja huwa anasema wanawake wengi wa jamiiforums ni vilaza... Nisamehe kaka yangu weye nliyekutaka uwaombe radhi. Nakubali wanawake wengi wa humu ni vilaza na vilazwa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
I cant be that stupid to know sme stupid women in JF. I just know only smart women in JF. Sorry i dont know you.[emoji16]
Hizi comments ni mapacha wanaofanana, ila nguo walizovaa ndo zinatofautiana.
 
Wewe naye kumbe mbeya ndiyo maan nakunyimaga namba pm mxeeew ushindwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe naye kumbe mbeya ndiyo maan nakunyimaga namba pm mxeeew ushindwe.
Hujawah kuniona na sikutaja jina la mtu humu na Wala hata hunijui so kuwa na busara na tumia IQ ya juu sana okey hukunipa namba ya simu hayo Ni maono yako na unajua na kama imekukela unatakiwa ulimeze kama lililivyo.

Inawezekana kucoment kwako ukawa wewe na kama Ni wew change muonekano ishi maisha yanayoendana na muonekano wako

Mwisho wa kunukuuu!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwanza kabisa huu uzi nimeusubscribe pili, sijasoma hata comment moja, ila tu nakupa warning mama ingekuwa mimi kudume ungekuwa unakaribia kuja home, nasemaje kwa vitu ulivyosema unavyo lazima ningeruka na wewe hata ningeanza mdogo mdogo, cha mwisho kabisa NLISHASEMAGA, kutongoza ni ART na SAYANSI KWA WAKATI MMOJA...
 
Naomba comment ziwe fupifupi kabisaa,ili nijitahidi kuzipitia zote kwa ufasaha.[emoji847]
 
Back
Top Bottom