Huyu member humu ana maneno sana, ila nje ni domo zege

Ma Mshuza una inye sio ya kitoto.

Unafanana sana na wanawake wa kiafrika hapa Texas, wengi wamejaaliwa.
 
Nice story!!
 
UKITAKA UMBEA KAMA HUU ANDIKA JFUMBEA KWENDA NO 157768
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Wewe huenda ni miss natafuta umebadili tu ubini!
Kubabake wallah.
 
Huyo dada kaamua tu kunichokoza...
Ni wewe Gd G Mbegu orijinari au 'wamehaki' na avatar yako kabisa?

Sijawahi kusadiki kama Gwambegu anaweza akachokozeka na hayo makitu af akalipa upole na utulivu wa kiwango cha SGR!

Siyo kwa upole huo, yawezekana msimuliaji kasema stori za kweli me naanza kuamini.

Sifa zote unazosemaga wewe, yeye anazo anazimiliki, sasa upole na uvumilivu huo wa kushindwa ku attack umeutoa wapi ghafla'ivo?
Siamini ati!
 
Ma Mshuza hiyo shepu sio ya kisambaa kabisaaaaa.
 
Kama nimeshawahi kutongoza member yeyote pm aseme sitak kuchafuliana hapa aanzishe Uzi mwingine kesii zituangukie kina sieeeee
Acha panick madam, kwani kutongozana kama mtu umempenda kunaenda kinyume na maadili jamani?

Me binafs mwanamke akintongoza ntampenda kuliko nnayetafuta mwenyewe, maana najua hapo kuna upendo wa kweli.

Sasa hili la kusema umentongoza wala lisikujaze ghadhabu.

Hilo kakupiga nalo kukudhoofisha kama silaha yake ya kukunyamazisha.
 
Comred GuDume hakuelewa swaga zako simply you are not his type,
sa mtu Tipwatipwa kama wewe anakupeleka wapi njia nzima muapigiwa miluzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…